DALADALA LAACHA NJIA NA KUPARAMIA GENGE NA BAJAJ MAENEO YA KITUNDA JIJINI DAR
 Wananchi wakiangalia ajali ya daladala lenye namba za usajili T 456 BVT lililoacha njia kutokana na mwendokasi na kuparamia genge na bajaj yenye namba MC 611 ADC, maeneo ya Kitunda relini barabara ya Mombasa kwenda Moshi Baa Dar es Salaam leo asubuhi. Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa daladala kukimbilia abiria. Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa.  wananchi wakiangalia ajali...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziDALADALA LAACHA NJIA NA KUPARAMIA GENGE NA BAJAJ MAENEO YA KITUNDA JIJINI DAR ES SALAAM LEO ASUBUHI
KWA PICHA ZAIDI BOFYA...
11 years ago
GPLBAJAJ YA MLEMAVU ILIPOGONGA GARI MAENEO YA POSTA DAR
11 years ago
Habarileo31 Mar
Njia 60 za daladala Dar kusitishwa
NJIA 64 za magari ya daladala jijini Dar es Salaam zitakoma kutumika kutokana na kuanza kwa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART).
10 years ago
GPLGLOBAL YAPENDEZESHA BAJAJ JIJINI DAR
10 years ago
MichuziGARI LAACHA NJIA NA KUANGUKA KAKONKO, KIGOMA, LEO
11 years ago
GPLBAJAJ MPYA AINA YA RE4S ZAZINDULIWA JIJINI DAR
11 years ago
CloudsFM17 Jul
LORI LAACHA NJIA LAGONGA NYUMBA LAUA WATANO PAPO HAPO,LAJERUHI WATATU IRINGA
AJALI mbaya ya gari im,etokea usiku wa leo mkoani Iringa baada ya lori la mizigo lenye namba za usajili T 801 ACD lililokuwa likielekea mkoani Mbeya kuacha njia na kugonga nyumba iliyokuwa ikitumiwa kama sehemu ya klabu cha kuuzia pombe za kienyeji na kusababisha vifo vya watu watano papop hapo wakiwemo watatu wa familia moja.
Tukio hilo limetokea majira ya saa 4 usiku wa leo katika eneo la njia panda ya makumbusho ya Isimila kata ya Mseke wilaya ya Iringa katika barabara kuu ya Iringa -...
9 years ago
MichuziBAJAJ WALIYOIKODI WANAFUNZI WA SEKONDARY YA LOYOLA JIJINI DAR ES SALAAM YAGONGWA WANUSURIKA KUFA
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-ksyp58ER-QQ/VJ8cRm7nCpI/AAAAAAADS2M/QgMLSIhz0jM/s72-c/DSCF2512.jpg)
BAJAJ ZILIVYO JINAFSI KIROHO SAFI JIJINI DAR KWENYE HII NI BARABARA YA SEA VIEW
![](http://1.bp.blogspot.com/-ksyp58ER-QQ/VJ8cRm7nCpI/AAAAAAADS2M/QgMLSIhz0jM/s1600/DSCF2512.jpg)