Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DALADALA LAACHA NJIA NA KUPARAMIA GENGE NA BAJAJ MAENEO YA KITUNDA JIJINI DAR ES SALAAM LEO ASUBUHI

 Wananchi wakiangalia ajali ya daladala lenye namba za usajili T 456 BVT lililoacha njia kutokana na mwendokasi na kuparamia genge na bajaj yenye namba MC 611 ADC, maeneo ya Kitunda relini barabara ya Mombasa kwenda Moshi Baa Dar es Salaam leo asubuhi. Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa daladala kukimbilia abiria. Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa. wananchi wakiangalia ajali hiyo. Daladala hilo likiwa ndani ya genge baada ya kuacha njia.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

DALADALA LAACHA NJIA NA KUPARAMIA GENGE NA BAJAJ MAENEO YA KITUNDA JIJINI DAR



 Wananchi wakiangalia ajali ya daladala lenye namba za usajili T 456 BVT lililoacha njia kutokana na mwendokasi na kuparamia genge na bajaj yenye namba MC 611 ADC, maeneo ya Kitunda relini barabara ya Mombasa kwenda Moshi Baa Dar es Salaam leo asubuhi. Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa daladala kukimbilia abiria. Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa.

 wananchi wakiangalia ajali...

 

10 years ago

GPL

APIGWA RISASI ASUBUHI YA LEO, YOMBO VITUKA JIJINI DAR ES SALAAM!

Mwili wa marehemu aliyefahamika kwa jina la Betty baada ya kupigwa risasi asubuhi ya leo, Yombo Vituka, Temeke  jijini Dar es Salaam akiwa kwenye gari aina ya Toyota Pick Up ya Tunu Security na watu waliokuwa na bodaboda.…

 

9 years ago

Michuzi

BAJAJ WALIYOIKODI WANAFUNZI WA SEKONDARY YA LOYOLA JIJINI DAR ES SALAAM YAGONGWA WANUSURIKA KUFA

 Mwanafunzi wa Sekondary ya Loyola akipelekwa kwenye gari kuelekea Hospitali ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo mchana, baada ya bajaj yenye namba za usajili MC 402 AWD waliokuwa wameikodi na wenzake Bandarini wakitokea Zanzibar kugongwa na Pickup Double Cabin yenye namba DFPA 826 katika makutano ya barabara ya Sokoine na Azikiwe jirani na Benki ya NBC. Katika ajali hiyo wanafuzi kadhaa walijeruhiwa na kukimbizwa katika hospitali hiyo. Wanafunzi wa shule hiyo wakimfariji mwenzao Martha...

 

10 years ago

Michuzi

GARI LAACHA NJIA NA KUANGUKA KAKONKO, KIGOMA, LEO

 Gari lenye usajili  T 896 BFB likiwa limeacha njia na kuanguka Wilayani Kakonko Mkoani  Kigoma, likiwa  limesheheni mzigo kupita uwezo wake na mizigo hiyo  kuhamishiwa   katika gari jingine. 
Wahusika wakifunga mizigo hiyo japo haikufahamika mara moja nimizigo gani. Mizigo hiyo ikihamishiwa katika Gari lenye usajili  T 267 DCW ili waweze endelea na safari hiyo.Picha na Khamisi Mussa

 

10 years ago

Michuzi

KIVUKO CHA MV DAR ES SALAAM CHAWASILI KATIKA BANDARI YA DAR LEO ASUBUHI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli kushoto akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki Meli kubwa ya mizigo iliyobeba Kivuko kipya cha MV Dar es Salaam ilipokuwa inakaribia kutia nanga katika bandari ya Dar es Salaam.Taaswira ya Kivuko cha MV Dar es Salaam kama kinavyoonekana juu ya Meli kabla ya kushushwa majini katika bandari ya Dar es Salaam.Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha furaha yake ndani ya Kivuko hicho cha MV Dar es Salaam.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...

 

10 years ago

Michuzi

wafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena waadhimisha siku ya mazingira kwa kufanya usafi maeneo ya barabara jijini dar

wafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena ambao ni wakereketwa wakubwa wa mazingira, waliadhimisha siku hii asubuhi ya leo kwa kufanya usafi barabara ya Ohio kuzunguka mpaka ufukwe wa bahari ya Hindi.
Akiongea  mara baada ya zoezi hilo la usafi mkurugenzi mkuu wa masoko wa hoteli hiyo ndugu Seraphin Lusala aliwashukuru wafanyakazi wa hoteli hiyo kwa kushiriki katika zoezi hilo la kufanya usafi wa mazingira ili kuonyesha mfano kwa jamii kwamba uchafuzi wa mazingira haukubaliki na...

 

11 years ago

GPL

BAJAJ YA MLEMAVU ILIPOGONGA GARI MAENEO YA POSTA DAR

Bajaj iliyogonga gari.
Fundi akiangalia sehemu ya gari lililogongwa.
Wapita njia wakishuhudia ajali hiyo ndogo.…

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA NDANI YA DALADALA JIJINI DAR LEO

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Bi. Kulwa Juma ambaye ni mfanyabiashara ndogo ndogo ya kuuza Mihogo ya Kukaanga katika Kituo cha Mabasi cha Gongo la Mboto mwisho, Jijini Dar es salaam leo, wakati alipofanya ziara ya kushtukiza eneo hilo ili kujionea hali halishi ya biashara ndogo ndogo. Mh. Lowassa aliianza ziara yake eneo hilo la Gongo la Mboto na baadae alipanda daladala mpaka Pugu Kajiungeni, jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani