DEREVA BODABODA MBARONI KWA KUMNG’ATA MWENZAKE MDOMO NA KUONDOKA NAO
![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdPi5-wWKN0gwsCMpelk6VgALoX*aEDsoCTjsJbpzo*ZHQ56RAs5I0--IQzZs5Hg8rSIb*p2m0K3Vq3seyNPlFvy/bodabodaz1.jpg)
Richard Konga, Arusha DEREVA wa bodaboda, Adinan Adam, mkazi wa Kata ya Olorieni, mkoani Arusha ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumng’ata mdomo Shabani Temba na kuondoka nao. Kijana Shabani Temba aliyepigwa na kung'twa na dereva wa bodaboda, Adinan Adam. Akizungumza kwa uchungu wakati akitoa maelezo katika Kituo Kidogo cha Polisi cha Olorieni, Shabani alisema ameshangazwa kujikuta anapigwa kisha...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Mbaroni Katavi kwa kumuua dereva wa Bodaboda
POLIISI wilayani Mpanda, Katavi linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumuua dereva wa pikipiki ‘Bodabodai, Frank Joseph (25), mkazi wa mtaa wa Nsemlwa kwa kumchinja shigo na kisha kumpora pikipiki...
11 years ago
Habarileo26 May
Mbaroni kwa kudaiwa kumuua dereva bodaboda
POLISI mkoani Katavi inawashikilia watu watatu wakituhumiwa kumuua kikatili kwa kumchinja dereva wa pikipiki ‘bodaboda’ Frank Joseph (25) mkazi wa Mtaa wa Nsemulwa mjini Mpanda kisha kumpora pikipiki yake.
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Tajiri adaiwa kumng’ata, kumchoma pasi mtumishi wake kwa miaka mitatu
11 years ago
Mtanzania28 Jul
Mtuhumiwa amng’ata mdomo askari
![Dar es Salaam](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/dar-es-salaam.jpg)
Eneo la katikati ya Jiji la Dar es Salaam
Na Faraja Masinde, Dar es Salaam
KARANI wa Kampuni ya Mabasi ya abiria yaitwayo Happy African, Eliud Mwanyonga (40), amemng’ata mdomo askari wa kikundi cha ulinzi shirikishi aliyefahamika kwa jina moja la Ernest.
Tukio hilo lilitokea Ijumaa iliyopita saa 12 alfajiri katika Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani wakati askari huyo alipokuwa katika shughuli zake za kila siku.
Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo, James Zebedayo, aliliambia MTANZANIA Jumatatu...
11 years ago
Habarileo27 Jun
Akana kumng'ata 'housegirl' wake
MKAZI wa Mwananyamala jijini Dar es Salaam, Amina Maige(42) anayetuhumiwa kumng’ata mfanyakazi wake wa ndani, amepandishwa kizimbani kusomewa maelezo ya awali baada ya upelelezi wa kesi hiyo kukamilika.
11 years ago
Habarileo13 Jun
Mwanamke adaiwa kumng'ata 'housegirl'
MWANAMKE aliyekuwa akituhumiwa kumng’ata msichana wake wa kazi sehemu mbalimbali za mwili , Amina Maige (42), mkazi wa Mwananyamala, Dar es Salaam amefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya kudhuru mwili.
11 years ago
Mwananchi13 Jun
Mtuhumiwa kesi kumng’ata yaya atinga kortini
10 years ago
Habarileo24 Oct
Mchina mbaroni kwa kumteka mwenzake
JESHI la Polisi mkoani Pwani linamshikilia raia wa nchi ya China We Sheng (39) mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kumteka nyara Mkurugenzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Viatu vya Plastiki (Yeboyebo), Li Cheng Weng (54) baada ya kumtishia kwa silaha.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-S238o7hD_rM/XvSAX5vpU7I/AAAAAAALvXc/x8TVFnCHiLk1vgPEb_loI58WeXzvPZUfACLcBGAsYHQ/s72-c/MBARONI.jpg)
Njombe:Kijana mbaroni kwa tuhuma za kumlawiti mwenzake wa miaka 15
![](https://1.bp.blogspot.com/-S238o7hD_rM/XvSAX5vpU7I/AAAAAAALvXc/x8TVFnCHiLk1vgPEb_loI58WeXzvPZUfACLcBGAsYHQ/s640/MBARONI.jpg)
Akizungumza na kituo hiki kwa njia ya simu kamanda Issa amesema mtuhumiwa huyo anashikiliwa na jeshi hilo baada ya kupata taarifa hizo kutoka kwa wananchi.
“Kijana huyu Peter Chaula ni mfanyabiashara,ni hali isiyoyakawaida kwasababu baada...