Mtuhumiwa amng’ata mdomo askari
Eneo la katikati ya Jiji la Dar es Salaam
Na Faraja Masinde, Dar es Salaam
KARANI wa Kampuni ya Mabasi ya abiria yaitwayo Happy African, Eliud Mwanyonga (40), amemng’ata mdomo askari wa kikundi cha ulinzi shirikishi aliyefahamika kwa jina moja la Ernest.
Tukio hilo lilitokea Ijumaa iliyopita saa 12 alfajiri katika Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani wakati askari huyo alipokuwa katika shughuli zake za kila siku.
Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo, James Zebedayo, aliliambia MTANZANIA Jumatatu...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili25 Jun
Suarez amng'ata Chiellini
10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Shabiki amng'ata mwenziwe Kenya
11 years ago
Mwananchi25 Jan
Amng’ata meno mtoto baada ya kumfanyia ukatili mkewe
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dUBGrCUuK8Qj8U7hlSkoqv*9c3Kjmnnd8Xd3mtgMqD4dLXvH0wYUpZaUSlvwB4JAvu-kBlXYs50W6CWidT2sXz3KfDKM1PBK/article26674601F17D69300000578470_964x386.jpg?width=650)
SUAREZ AMNG’ATA MTU, ITALIA YATUPWA NJE
11 years ago
Mwananchi25 Jun
BRAZIL 2104: Suarez amng’ata beki wa Italia, Ivory Coast chali
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-3i3rVffQH0hAHlIuQAc32jJ6Smu43OJd9AtUQ50BYqJwniIimX4-aDGtpw1*32rIy8orkOSGS0IkbDp3K3Crv80y8Owv*dy/serengeti.jpg?width=650)
MAMA AMNG’ATA ULIMI ‘SERENGETI BOY’
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdPi5-wWKN0gwsCMpelk6VgALoX*aEDsoCTjsJbpzo*ZHQ56RAs5I0--IQzZs5Hg8rSIb*p2m0K3Vq3seyNPlFvy/bodabodaz1.jpg)
DEREVA BODABODA MBARONI KWA KUMNG’ATA MWENZAKE MDOMO NA KUONDOKA NAO
11 years ago
Mwananchi13 Jun
Mtuhumiwa kesi kumng’ata yaya atinga kortini
10 years ago
Dewji Blog07 Sep
Mtuhumiwa wa mauaji ya askari akamatwa
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu.
Na Mwandishi wetu
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu amesema usiku wa kuamkia jana wamempata mtuhumiwa mmoja Wa ujambazi aliyedaiwa kuua askari Polisi wawili,kujeruhi 2 na kupora silaha mbalimbali katika kituo cha Polisi Bukombe.
Hayo aliyasema leo kwenye mkutano wa wadau wa sekta ya mifugo uliofanyika katika mkoa huu mwanza.
IGP Mangu amesema wamefanikiwa kumpata mtuhumiwa mmoja ambaye...