BRAZIL 2104: Suarez amng’ata beki wa Italia, Ivory Coast chali
>Mshambuliaji mtukutu wa Uruguay, Luis Suarez ameibua mkasa mwingine katika Kombe la Dunia baada ya kumng’ata begani beki wa Italia, Giorgio Chiellini waliposhinda 1-0 katika mchezo wa mwisho wa Kundi D, huku Ivory Coast wakitupwa nje ya mashindano na Ugiriki kwa kufungwa 2-1.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLSUAREZ AMNG’ATA MTU, ITALIA YATUPWA NJE
11 years ago
BBCSwahili25 Jun
Suarez amng'ata Chiellini
11 years ago
BBCSwahili15 Jun
Ivory Coast yawika Brazil
11 years ago
Mtanzania28 Jul
Mtuhumiwa amng’ata mdomo askari
Eneo la katikati ya Jiji la Dar es Salaam
Na Faraja Masinde, Dar es Salaam
KARANI wa Kampuni ya Mabasi ya abiria yaitwayo Happy African, Eliud Mwanyonga (40), amemng’ata mdomo askari wa kikundi cha ulinzi shirikishi aliyefahamika kwa jina moja la Ernest.
Tukio hilo lilitokea Ijumaa iliyopita saa 12 alfajiri katika Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani wakati askari huyo alipokuwa katika shughuli zake za kila siku.
Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo, James Zebedayo, aliliambia MTANZANIA Jumatatu...
10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Shabiki amng'ata mwenziwe Kenya
11 years ago
Mwananchi25 Jan
Amng’ata meno mtoto baada ya kumfanyia ukatili mkewe
11 years ago
Mwananchi02 Jul
BRAZIL 2104: Keshi, Yobo wabwaga manyanga
10 years ago
GPLBeki katili: Tambwe aling'ata kidole
10 years ago
GPLMAMA AMNG’ATA ULIMI ‘SERENGETI BOY’