Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA AMNG’ATA ULIMI ‘SERENGETI BOY’

Na Joseph Ngilisho, Arusha
HATARI! Katika hali isiyotarajiwa, mwanamke mmoja aliyefahamika kama Mama Abuu amefanya tukio la ajabu baada ya kumng’ata na kumkata ulimi kijana Paulo Simon mwenye umri wa miaka 18, kufuatia ‘Serengeti Boy’ huyo kukataa kufanya naye mapenzi katika eneo la Tindigani, Kimandolu mjini Arusha hivi karibuni. Kijana Paulo Simon aliyekatwa ulimi na mwanamke mmoja anayefahamika kama...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Suarez amng'ata Chiellini

Mshambulizi wa Uruguay Luiz Suarez amemng'ata mlinzi wa Italia Giorgio Cheillini katika mechi ya mwisho wa kundi D

 

11 years ago

Mtanzania

Mtuhumiwa amng’ata mdomo askari

Dar es Salaam

Eneo la katikati ya Jiji la Dar es Salaam

Na Faraja Masinde, Dar es Salaam

KARANI wa Kampuni ya Mabasi ya abiria yaitwayo Happy African, Eliud Mwanyonga (40), amemng’ata mdomo askari wa kikundi cha ulinzi shirikishi aliyefahamika kwa jina moja la Ernest.

Tukio hilo lilitokea Ijumaa iliyopita saa 12 alfajiri katika Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani wakati askari huyo alipokuwa katika shughuli zake za kila siku.

Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo, James Zebedayo, aliliambia MTANZANIA Jumatatu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Shabiki amng'ata mwenziwe Kenya

Mwanamume mmoja mjini Kisumu magharibi mwa Kenya, alimng'ata sikio jirani yake baada ya mechi ya soka ya ligi ya uingereza iliyokuwa na matokeo yasiyo ya kuridhisha kwa mmoja wao.

 

10 years ago

GPL

HEE! MAMA ASAULA KUMLAANI SERENGETI BOY WAKE

Gabriel Ng’osha Heeh! Makubwa! Mama mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja amefanya aibu ya mwaka baada ya kusaula (kuvua) nguo zake na kubaki mtupu, kisa kikidaiwa ni kumlaani ‘serengeti boy’ wake aliyemfanyia kitu mbaya. Mwanamke aliyedaiwa kusahula baada ya kugombana na bwana'ke. Kwa mujibu wa chanzo chetu, mwanamke huyo mbali ya kuwa na mtu wake amedaiwa kuwa na tabia ya kuchepuka na wanaume...

 

11 years ago

GPL

SUAREZ AMNG’ATA MTU, ITALIA YATUPWA NJE

Sao Paulo, Brazil
TIMU ya taifa ya Uruguay imefanikiwa kutinga hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia nchini Brazil, lakini kituko ni straika wa timu hiyo, Luis Suarez kumng’ata beki wa Italia kwenye Dimba la Das Dunas. Beki wa Italia, Giorgio Chiellini akionyesha sehemu aliong'atwa na Suarez. Uruguay imefuzu hatua hiyo baada ya kuifunga Italia bao 1-0 katika mechi ya mwisho ya Kundi D ikiungana na Costa Rica ambayo...

 

11 years ago

Mwananchi

Amng’ata meno mtoto baada ya kumfanyia ukatili mkewe

>Wakati alipoolewa kuwa mke wa pili kwa mahari ya ng’ombe wanane, Katarina Mturi (22) alisindikizwa kwa ngoma na tamaduni za Kabila la Kikurya, wala hakuamini kama kuna siku ataichukia ndoa hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2104: Suarez amng’ata beki wa Italia, Ivory Coast chali

>Mshambuliaji mtukutu wa Uruguay, Luis Suarez ameibua mkasa mwingine katika Kombe la Dunia baada ya kumng’ata begani beki wa  Italia, Giorgio Chiellini waliposhinda 1-0 katika mchezo wa mwisho wa Kundi D, huku Ivory Coast wakitupwa nje ya mashindano na Ugiriki kwa kufungwa 2-1.

 

10 years ago

GPL

SERENGETI BOY, MKE WA KIGOGO LIVE

Stori: Waandishi Wetu
KABAANG! Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Marck Costantine (24), mkazi wa mtaa wa Kitangiri jijini Mwanza amenaswa ‘live’ gesti akiwa na mke wa kigogo mmoja (jina kapuni), aitwaye Mwanaidi wakijiandaa kuvunja amri ya sita. Baada ya fumanizi kati ya Serengeti boy aliyefahamika kwa jina la Marck Costantine na mke wa kogogo. Tukio hilo lilijiri Septemba 18, mwaka huu kwenye gesti moja...

 

10 years ago

GPL

SERENGETI BOY: NIMELIFAIDI PENZI LA WOLPER!

Na Musa mateja/mchanganyiko11 Siri imefichuka! Bwa’mdogo a.k.a Serengeti Boy kutoka Kundi la Makomando, Fredy Felix amesimulia namna alivyofaidi penzi la staa wa Bongo Movies, Jacqueline Walper Massawe ‘Wolper’. Fredy Felix kutoka Makomando. Akizungumza na GlobalTV Online kwenye mahojiano maalum juzikati, dogo huyo alisema kuwa katika maisha yake ya kimapenzi hakuna mwanamke ambaye aliwahi kutoka naye na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani