Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SUAREZ AMNG’ATA MTU, ITALIA YATUPWA NJE

Sao Paulo, Brazil
TIMU ya taifa ya Uruguay imefanikiwa kutinga hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia nchini Brazil, lakini kituko ni straika wa timu hiyo, Luis Suarez kumng’ata beki wa Italia kwenye Dimba la Das Dunas. Beki wa Italia, Giorgio Chiellini akionyesha sehemu aliong'atwa na Suarez. Uruguay imefuzu hatua hiyo baada ya kuifunga Italia bao 1-0 katika mechi ya mwisho ya Kundi D ikiungana na Costa Rica ambayo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2104: Suarez amng’ata beki wa Italia, Ivory Coast chali

>Mshambuliaji mtukutu wa Uruguay, Luis Suarez ameibua mkasa mwingine katika Kombe la Dunia baada ya kumng’ata begani beki wa  Italia, Giorgio Chiellini waliposhinda 1-0 katika mchezo wa mwisho wa Kundi D, huku Ivory Coast wakitupwa nje ya mashindano na Ugiriki kwa kufungwa 2-1.

 

11 years ago

BBCSwahili

Suarez amng'ata Chiellini

Mshambulizi wa Uruguay Luiz Suarez amemng'ata mlinzi wa Italia Giorgio Cheillini katika mechi ya mwisho wa kundi D

 

10 years ago

BBCSwahili

Shabiki amng'ata mwenziwe Kenya

Mwanamume mmoja mjini Kisumu magharibi mwa Kenya, alimng'ata sikio jirani yake baada ya mechi ya soka ya ligi ya uingereza iliyokuwa na matokeo yasiyo ya kuridhisha kwa mmoja wao.

 

11 years ago

Mtanzania

Mtuhumiwa amng’ata mdomo askari

Dar es Salaam

Eneo la katikati ya Jiji la Dar es Salaam

Na Faraja Masinde, Dar es Salaam

KARANI wa Kampuni ya Mabasi ya abiria yaitwayo Happy African, Eliud Mwanyonga (40), amemng’ata mdomo askari wa kikundi cha ulinzi shirikishi aliyefahamika kwa jina moja la Ernest.

Tukio hilo lilitokea Ijumaa iliyopita saa 12 alfajiri katika Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani wakati askari huyo alipokuwa katika shughuli zake za kila siku.

Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo, James Zebedayo, aliliambia MTANZANIA Jumatatu...

 

11 years ago

Mwananchi

Amng’ata meno mtoto baada ya kumfanyia ukatili mkewe

>Wakati alipoolewa kuwa mke wa pili kwa mahari ya ng’ombe wanane, Katarina Mturi (22) alisindikizwa kwa ngoma na tamaduni za Kabila la Kikurya, wala hakuamini kama kuna siku ataichukia ndoa hiyo.

 

10 years ago

GPL

MAMA AMNG’ATA ULIMI ‘SERENGETI BOY’

Na Joseph Ngilisho, Arusha
HATARI! Katika hali isiyotarajiwa, mwanamke mmoja aliyefahamika kama Mama Abuu amefanya tukio la ajabu baada ya kumng’ata na kumkata ulimi kijana Paulo Simon mwenye umri wa miaka 18, kufuatia ‘Serengeti Boy’ huyo kukataa kufanya naye mapenzi katika eneo la Tindigani, Kimandolu mjini Arusha hivi karibuni. Kijana Paulo Simon aliyekatwa ulimi na mwanamke mmoja anayefahamika kama...

 

11 years ago

BBCSwahili

Manchester United yatupwa nje FA

Manchester United imeendelea kuboronga na sasa ikitupwa nje ya kombe la FA baada ya kucharazwa 2-1 na Swansea

 

10 years ago

GPL

MAN CITY YATUPWA NJE UEFA

Barcelona wakishangilia bao lao lililofungwa na Ivan Rakitic dakika ya 31. Barcelona imefanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Mabingwa Ulaya kwa kuifunga Manchester City bao 1-0 lililofungwa na Ivan Rakitic dakika ya 31 ya mchezo uliopigwa Nou Camp, Barcelona usiku huu na kuitupa nje City kwa jumla ya mabao 3-1. Manchester City vichwa chini baada ya kuondolewa kwenye michuano hiyo. Katika mechi ya kwanza iliyopigwa...

 

11 years ago

GPL

stars yatupwa nje Afcon 2015

Kikosi cha timu ya Taifa 'Taifa Stars' Na Mwandishi Wetu
NDIYO basi tena! Taifa Stars imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2015), baada ya kufungwa mabao 2-1 na Msumbiji jijini Maputo, jana Jumapili.Stars imeondolewa kwa jumla ya mabao 4-3, baada ya awali kulazimishwa sare ya 2-2 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar. Katika mechi hiyo ya jana, Msumbiji ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao la kwanza kupitia kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani