Beki katili: Tambwe aling'ata kidole
![](http://api.ning.com:80/files/Wh6b0fkgU11pcT6V2-uS1dGbZRR-LyKuLutluD6TPnDf*-8wY1DRDxQ21pUFJz*2tZiAXEU9k0H101Ovl7wPL8scJtTt8mfE/BEKI.jpg)
Straika wa Yanga, Amissi Tambwe akigombana na beki wa Ruvu Shooting, George Michael. Sweetbert Lukonge na Said Ally SIKU chache baada ya tukio la kumkaba straika wa Yanga, Amissi Tambwe katika mechi ya Ligi Kuu Bara, hatimaye beki wa Ruvu Shooting, George Michael maarufu kwa jina la Beki Katili, amefunguka na kusema kuwa, sababu kubwa ya kumkaba Tambwe ni kwa kuwa mpinzani wake huyo alimng’ata kwenye kidole. Ofisa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi10 Oct
Beki Simba avunjika kidole, kukaa nje mwezi mmoja
11 years ago
Mwananchi25 Jun
BRAZIL 2104: Suarez amng’ata beki wa Italia, Ivory Coast chali
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Beki awapania Tambwe, Okwi
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj362YjnsfjMjGke3f2V42yAab4D*FYpixDUrUv4aK5Kwq*6*KTI*Tf14GVbOujFUZXNDMVUrpf8MMwe7UIQimLI/TAMBWE.jpg?width=650)
Tambwe: Yanga hakuna beki wa kunizuia
10 years ago
GPLAMISSI TAMBWE ATUA YANGA, SIMBA YAMNASA BEKI HASSAN KESSY
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0004.jpg)
NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qHkXSNTTQ9fmojbSGpCVY9TW54lhlj-ptX7F*gkaWxvLUUMfsGtJMtgH59svzjuFjg0jwmEqXG5NomQBFZbiGCm0rxkjtgMs/hands.in.the.air.gif?width=650)
MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI
10 years ago
GPLCHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE
9 years ago
Global Publishers15 Dec
Dunia katili!
Mtoto Sabrina akiwa na majeraha usoni baada ya kumwagiwa maji ya moto na jirani kisa TV.
Na Makongoro Oging’
UBINADAMU umeisha! Ni ajabu lakini ni kweli imetokea! Mtoto Sabrina (7), mkazi wa Tabata Msimbazi, Dar anakabiliwa na maumivu makali kufuatia majeraha yaliyotokana na kumwagiwa maji ya moto na mwanamke anayesemekana ni jirani yao.
Tukio hilo la kushangaza lilijiri saa sita mchana wa Desemba 6, mwaka huu wakati mtoto huyo alipokuwa akiangalia kupitia dirishani, kipindi cha watoto...