Beki Simba avunjika kidole, kukaa nje mwezi mmoja
Beki wa kushoto wa Simba, Emery Nimubona amevunjika kidole cha mkono wa kushoto, hivyo atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki nne.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili13 Mar
Chamberlain kukaa nje mwezi mmoja
Arsenal itakosa huduma za Alex Oxlade-Chamberlain kwa takriban majuma 4 kutokana na jeraha
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wh6b0fkgU11pcT6V2-uS1dGbZRR-LyKuLutluD6TPnDf*-8wY1DRDxQ21pUFJz*2tZiAXEU9k0H101Ovl7wPL8scJtTt8mfE/BEKI.jpg)
Beki katili: Tambwe aling'ata kidole
Straika wa Yanga, Amissi Tambwe akigombana na beki wa Ruvu Shooting, George Michael.
Sweetbert Lukonge na Said Ally
SIKU chache baada ya tukio la kumkaba straika wa Yanga, Amissi Tambwe katika mechi ya Ligi Kuu Bara, hatimaye beki wa Ruvu Shooting, George Michael maarufu kwa jina la Beki Katili, amefunguka na kusema kuwa, sababu kubwa ya kumkaba Tambwe ni kwa kuwa mpinzani wake huyo alimng’ata kwenye kidole. Ofisa...
9 years ago
BBCSwahili15 Oct
Beki wa Liverpool nje msimu mzima
Joe Gomez beki wa kushoto wa klabu ya Liverpool atakua nje ya uwanja kwa msimu msimu uliobaki
9 years ago
Bongo515 Oct
Beki wa Liverpool kuwa nje msimu mzima baada ya kuumia
Klabu ya Liverpool imepata pigo baada beki wake kushoto Joe Gomez kuumia na atakua atakuwa nje ya uwanja kwa msimu uliobaki. Gomez mwenye umri wa 18 aliumia goti wakati akiichezea timu ya taifa ya England chini ya miaka 21 katika mchezo dhidi ya Kazakhstan. Kinda huyo amecheza michezo mitano ya ligi kuu msimu huu toka […]
9 years ago
Bongo528 Sep
Messi kukaa nje kwa miezi miwili
Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi miwili ijayo kufuatia jeraha la goti. Mshambuaji huyo wa Argentina aliumia katika mechi ya ligi kuu ya Hispania dhidi ya Las Palmas ambapo Barcelona ilishinda mechi hiyo kwa mabao 2-1. Messi, 28 aliondolewa uwanjani na kukimbizwa hospitali katika dakika ya 3 ya […]
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TQDVHBx0tuWGt8UPx4yp65pF*x3ZoLrlSVnpPFPqv1NZJ9DuIBtKMuQmIpFN3Gx49BmFgYQxSlcHu1zQZoe4SjHiR7tC4DKc/tff.jpg)
TFF yamfungia beki Simba
BEKI wa kushoto wa timu ya Simba (kulia), Abdi Banda. Na Said Ally
BEKI wa kushoto wa timu ya Simba, Abdi Banda, amesema kuwa amefungiwa mechi mbili na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Banda alikuwa na utata kwenye usajili wake na Simba huku akidaiwa kuwa alisaini kwenye timu hiyo ya Msimbazi wakati akiwa bado na mkataba na Coastal Union na timu zote zilipeleka jina la mchezaji huyo kwenye usajili wake lakini aliidhinishwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HwqJujqzkWgSqO7ypDtxRUvsKW-BTbKHPVUO1B0U9rp*j6j1AMFAD8uGBif9wtd07*4Uccs0wzvfbZwPOBbt*VrnmcJTmG7U/beki.jpg)
Beki awaita Simba Nigeria
Beki wa zamani wa Simba, Komambil Keita. Na Mwandishi Wetu
BEKI wa zamani wa Simba, Komambil Keita, amewaita viongozi wa klabu hiyo nchini Nigeria wakafanye mazungumzo. Keita, raia wa Mali, anakipiga nchini Nigeria katika klabu ya Highland FC na ametamba kuwa yuko katika kiwango cha juu kabisa.Akizungumza na Championi Jumatano kutoka Nigeria, Keita amesema amepata taarifa za Simba kuwa na matatizo katika safu ya ulinzi....
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Beki Simba atua African Lyon
KLABU ya African Lyon ya jijini Dar es Salaam, ambayo inashiriki Ligi Daraja la Kwanza Taifa (FDL), imemsajili beki wa Simba, Hassan Isihaka kwa mkataba wa miaka mitatu wenye thamani...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BMX2CDnBHSKW4Hly7EtM-urYSp2kYZChDKYQbM*asVVOk-Ce9f3TYnN4QyZpw6AKqvBlALDUcABLKz2dbvyj5IZuzKg3nmCD/beki.gif?width=600)
Beki ataka milioni 35 asaini Simba SC
Beki wa pembeni wa Coastal Union ya Tanga, Abdi Banda. Wilbert Molandi na Said Ally
BEKI wa pembeni wa Coastal Union ya Tanga, Abdi Banda amekubali kusaini kuichezea klabu kongwe ya Simba, lakini kwa sharti moja kubwa kuwa wampatie shilingi milioni 35. Awali, beki huyo ambaye pia anaichezea timu ya taifa ya vijana yenye umri chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes alipendekezwa na Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania