Dunia katili!
Mtoto Sabrina akiwa na majeraha usoni baada ya kumwagiwa maji ya moto na jirani kisa TV.
Na Makongoro Oging’
UBINADAMU umeisha! Ni ajabu lakini ni kweli imetokea! Mtoto Sabrina (7), mkazi wa Tabata Msimbazi, Dar anakabiliwa na maumivu makali kufuatia majeraha yaliyotokana na kumwagiwa maji ya moto na mwanamke anayesemekana ni jirani yao.
Tukio hilo la kushangaza lilijiri saa sita mchana wa Desemba 6, mwaka huu wakati mtoto huyo alipokuwa akiangalia kupitia dirishani, kipindi cha watoto...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Francois Nguema:Rais katili aliyeabudu uchawi-2
Francois Macias Nguema, alikuwa rais wa kwanza wa Guinea ya Ikweta kuanzia Oktoba 12, hadi Agosti 3, 1979. Nguema anakumbukwa kwa mengi katika utawala wake, lakini kubwa ni tabia yake ya kuamini ushirikina.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wh6b0fkgU11pcT6V2-uS1dGbZRR-LyKuLutluD6TPnDf*-8wY1DRDxQ21pUFJz*2tZiAXEU9k0H101Ovl7wPL8scJtTt8mfE/BEKI.jpg)
Beki katili: Tambwe aling'ata kidole
Straika wa Yanga, Amissi Tambwe akigombana na beki wa Ruvu Shooting, George Michael.
Sweetbert Lukonge na Said Ally
SIKU chache baada ya tukio la kumkaba straika wa Yanga, Amissi Tambwe katika mechi ya Ligi Kuu Bara, hatimaye beki wa Ruvu Shooting, George Michael maarufu kwa jina la Beki Katili, amefunguka na kusema kuwa, sababu kubwa ya kumkaba Tambwe ni kwa kuwa mpinzani wake huyo alimng’ata kwenye kidole. Ofisa...
11 years ago
GPLSHIGONGO: HOMA YA INI NI UGONJWA KATILI LAZIMA TUUTOKOMEZE
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd, Eric Shigongo. Na Mwandishi Wetu
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd, Eric Shigongo, ametoa wito kwa Watanzania wote kuungana katika kampeni ya kuutokomeza ugonjwa wa homa ya ini ambao kitaalamu unajulikana kama Hepatitis B. Global Publishers, imeanza rasmi kampeni za kuitokomeza hepatitis B ambazo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania