Mtuhumiwa kesi kumng’ata yaya atinga kortini
>Kelele na sauti za zomeazomea jana zilitawala kutoka kwa watu waliokusanyika nje ya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakati Amina Maige, anayekabiliwa na shtaka la kujeruhi mfanyakazi wa ndani, alipokuwa akiwasili eneo hilo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo13 Jun
Mwanamke adaiwa kumng'ata 'housegirl'
MWANAMKE aliyekuwa akituhumiwa kumng’ata msichana wake wa kazi sehemu mbalimbali za mwili , Amina Maige (42), mkazi wa Mwananyamala, Dar es Salaam amefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya kudhuru mwili.
11 years ago
Habarileo27 Jun
Akana kumng'ata 'housegirl' wake
MKAZI wa Mwananyamala jijini Dar es Salaam, Amina Maige(42) anayetuhumiwa kumng’ata mfanyakazi wake wa ndani, amepandishwa kizimbani kusomewa maelezo ya awali baada ya upelelezi wa kesi hiyo kukamilika.
11 years ago
Mtanzania28 Jul
Mtuhumiwa amng’ata mdomo askari
![Dar es Salaam](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/dar-es-salaam.jpg)
Eneo la katikati ya Jiji la Dar es Salaam
Na Faraja Masinde, Dar es Salaam
KARANI wa Kampuni ya Mabasi ya abiria yaitwayo Happy African, Eliud Mwanyonga (40), amemng’ata mdomo askari wa kikundi cha ulinzi shirikishi aliyefahamika kwa jina moja la Ernest.
Tukio hilo lilitokea Ijumaa iliyopita saa 12 alfajiri katika Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani wakati askari huyo alipokuwa katika shughuli zake za kila siku.
Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo, James Zebedayo, aliliambia MTANZANIA Jumatatu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdPi5-wWKN0gwsCMpelk6VgALoX*aEDsoCTjsJbpzo*ZHQ56RAs5I0--IQzZs5Hg8rSIb*p2m0K3Vq3seyNPlFvy/bodabodaz1.jpg)
DEREVA BODABODA MBARONI KWA KUMNG’ATA MWENZAKE MDOMO NA KUONDOKA NAO
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Tajiri adaiwa kumng’ata, kumchoma pasi mtumishi wake kwa miaka mitatu
11 years ago
GPLBOSI ALIYEMNG’ATA HAUSIGELI WAKE KUTINGA KORTINI
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Kesi kumng’oa Spika EAC yafutwa
9 years ago
Habarileo29 Dec
Mtuhumiwa wa dawa za kulevya aanguka kortini
MSHTAKIWA Hamis Malindo (30), anayekabiliwa na mashitaka ya kusafirisha dawa za kulevya, ameanguka katika chumba cha Mahakama baada ya kusomewa mashitaka yanayomkabili.
10 years ago
Mtanzania21 Aug
Mtuhumiwa ugaidi azua jambo kortini
![Arusha Town](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Arusha-Town.jpg)
Arusha Town
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
WATUHUMIWA wa kesi ya ugaidi na kufanya uwakala wa kusajili vijana kujiunga na kundi la Al-Shabaab la nchini Somalia, wametaka upande wa mashtaka uwaeleze alipo mtuhumiwa mwenzao, Abdallah Thabit.
Malalamiko hayo yalitolewa jana mbele ya Hakimu Mkazi, Rose Ngoka, wakati kesi hiyo ilipokuwa ikitajwa.
Wakati watuhumiwa hao wakiwa mbele ya hakimu huyo, mtuhumiwa Ally Hamis alinyoosha mkono na kumuomba Hakimu Ngoka amsaidie kuuliza upande wa mashtaka ni...