Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi kumng’oa Spika EAC yafutwa

Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), juzi imeifuta kesi ya kupinga kuondolewa madarakani kwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Dk Margret Zziwa baada ya upande wa walalamikaji kuamua kutoendelea na kesi hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Hoja kumng'oa Spika Bunge la EAC bado hai

WABUNGE wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) wamesisitiza kuwa mpango wa kumng’oa Spika wa Bunge hilo, Margaret Zziwa liko pale pale licha ya wabunge watatu wa Tanzania kuondoa saini zao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makongoro akwamisha kumng’oa Spika EALA

MCHAKATO wa kumng’oa Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), Dk. Margret Banbtonbg Zziwa, juzi ulishindwa kuendelea baada ya wabunge wawili wa Tanzania kuamua kuondoa majina yao kwenye...

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya Dk Mahanga dhidi ya Msemakweli yafutwa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeifuta kesi ya madai ya kashfa iliyokuwa imefunguliwa na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga dhidi ya Mwanaharakati, Kainerugaba Msemakweli na wenzake.

 

10 years ago

Bongo5

Kesi ya Kanye West kumshambulia paparazzi yafutwa!

Kanye West na paparazzi aliyemshambulia wamemaliza tofauti zao kwa kumuomba msamaha na kushikana mikono. West alishtakiwa na Daniel Ramos baada ya mwaka 2013 kumshambulia wakati akiwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Los Angeles na kesi hiyo ilikuwa isikilizwe wiki ijayo. Wakili wa Ramos, Gloria Allred aliandika maelezo jana Jumanne kuwa kesi hiyo imemalizika […]

 

11 years ago

Michuzi

News alert: Vuguvugu la kutaka kumng'oa madarakani spika wa bunge la Afrika mashariki latikisa Arusha

Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki leo wameendelea na mchakato wao wa  kumuondoa spika  Mhe. Dkt. Margaret Nantongo Zziwa,  baada mahakama ya Afrika ya Mashariki ( East Afrika court of Justice) jijini Arusha kukataa kuzuia zoezi la kumuondosha katika kiti hicho. Ripota wetu anataarifu kutoka huko kuwa bunge liliahirishwa kukutana tena leo asubuhi baada ya suluhu kukosekana. "Hili linazuia mchakato mzima wa bajeti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kusomwa", Mbunge mmoja alisikika...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa kesi kumng’ata yaya atinga kortini

>Kelele na sauti za zomeazomea jana zilitawala kutoka kwa watu waliokusanyika nje ya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakati Amina Maige, anayekabiliwa na shtaka la kujeruhi mfanyakazi wa ndani, alipokuwa akiwasili eneo hilo.

 

10 years ago

GPL

WANAHARAKATI WA BURUNDI WAWATAKA MARAIS WA EAC KUTUMIA NGUVU ZA KIJESHI KUMNG’OA NKURUNZIZA

Wanaharakati hao wakiwa katika mkutano na wanahabari (hawapo pichani). Mwenyekiti wa Taasisi ya Burundi Women and Girls Movement, Prof Christine Mbonyingingo (kati) akizungumza na wanahabari.  Rais wa Taasisi ya Fight For Ongoing Torture, Niyongere Armel akisisitiza…

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Spika Makinda ataka ushirikiano Bunge la EAC


Na Mwandishi Wetu
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amewataka wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kutengeneza utaratibu wa kuongeza uhusiano kati ya bunge hilo na yale ya nchi wanachama.

Akizungumza katika ufunguzi wa bunge hilo, Spika Anne alisema tayari maspika wa mabunge ya nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC), wamekubalina kuunda kamati zitakazoshughulikia mambo ya jumuia hizo.
“Lakini jambo kubwa ni kwamba ukanda huu umetengeneza bunge lenye uwezo wa kutunga sheria,...

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge wa Tanzania EAC wapinga spika kung’olewa

WABUNGE wa Tanzania katika Bunge la jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), wamesisitiza kutounga mkono hoja ya kumng’oa Spika wa bunge hilo, Margaret Zziwa, kwa kuwa haina maslahi na Tanzania na wana Afrika Mashariki kwa ujumla.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani