News alert: Vuguvugu la kutaka kumng'oa madarakani spika wa bunge la Afrika mashariki latikisa Arusha
![](http://3.bp.blogspot.com/-AikHq5lX5uk/U43_G0-pakI/AAAAAAAFnbY/KYXvTzb6KS4/s72-c/images+(1).jpg)
Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki leo wameendelea na mchakato wao wa kumuondoa spika Mhe. Dkt. Margaret Nantongo Zziwa, baada mahakama ya Afrika ya Mashariki ( East Afrika court of Justice) jijini Arusha kukataa kuzuia zoezi la kumuondosha katika kiti hicho.
Ripota wetu anataarifu kutoka huko kuwa bunge liliahirishwa kukutana tena leo asubuhi baada ya suluhu kukosekana. "Hili linazuia mchakato mzima wa bajeti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kusomwa", Mbunge mmoja alisikika...
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania