Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAHARAKATI WA BURUNDI WAWATAKA MARAIS WA EAC KUTUMIA NGUVU ZA KIJESHI KUMNG’OA NKURUNZIZA

Wanaharakati hao wakiwa katika mkutano na wanahabari (hawapo pichani). Mwenyekiti wa Taasisi ya Burundi Women and Girls Movement, Prof Christine Mbonyingingo (kati) akizungumza na wanahabari.  Rais wa Taasisi ya Fight For Ongoing Torture, Niyongere Armel akisisitiza…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Waasi Burundi wapanga kumng’oa Rais Nkurunziza

Mmoja wa viongozi wa mapinduzi yaliyozimwa nchini Burundi hivi karibuni ya kutaka kumwondosha madarakani Rais Pierre Nkurunziza, amesema mikakati mingine inaendelea kupangwa ili kumng’oa kiongozi huyo madarakani.

 

10 years ago

Mtanzania

Marais EAC kuamua hatima ya Nkurunziza

Burundi's President Pierre NkurunzizaNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WAKUU wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanatarajia kukutana Dar es Saalam Mei 13 mwaka huu, katika mkutano wa dharura utakaoamua hatima ya Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi.
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa jana, ilieleza kuwa hatua hiyo imechukuliwa wiki chache baada ya amani kuchafuka nchini Burundi kutokana na chama tawala cha CNDD-FDD kumteua Rais Nkurunziza kuwania nafasi hiyo kwa muhula wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Upinzani Burundi wawaonya marais EAC

(FILES) This file picture taken 05 DecemNa Fredy Azzah, Dar es Salaam
WAKATI marais wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakitarajiwa kukutana Dar es Salaam leo kujadili mzozo wa Burundi, wapinzani wa Rais Pierre Nkurunziza, wameapa kwa kusema kuwa ni lazima kiongozi huyo ang’atuke madarakani.
Pamoja na hali hiyo pia wameonya kuwa silaha zinazozagaa kwa wanamgambo nchini humo zikusanywe kwa vile ni hatari hata kwa usalama wa nchi jirani.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete aita marais EAC kuijadili Burundi

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete ameitisha mkutano wa wakuu wenzake wa nchi tano za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ili kujadili hali ya Burundi.

 

10 years ago

Habarileo

Marais EAC wataka uchaguzi wa Rais Burundi uahirishwe

Viongozi wa Afrika Mashariki na Afrika Kusini wakiwa jijini Dar es Salaam kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kujadili mgogoro wa Burundi.WAKUU wa Nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC), wameitaka Burundi kuahirisha uchaguzi kwa takribani mwezi mmoja na nusu ili kurejesha hali ya amani nchini humo na kulitaka Bunge kusimamia mchakato huo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Pierre Nkurunziza: Nani anaiongoza Burundi baada ya kifo cha Nkurunziza?

Zaidi ya saa 48 baada ya kifo cha ghafla cha rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kumekuwa na sintofahamu kuhusu ni nani atakayechukuwa hatamu ya uongozi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Marais wa Tanzania na Kenya wawataka viongozi wa nchi zao kutatua mzozo wa mpaka

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema Corona haikuanzia Afrika hivyo haipaswi kuwa chanzo cha kutoelewana kati ya nchi za Kenya na Tanzania, na kwamba nchi zote zinahitaji biashara.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wataka nguvu za kijeshi kutumiwa Yemen

Mawaziri kutoka nchi za ghuba wamelitaka baraza la usalama la UN kuamrisha matumizi ya nguvu za kijeshi nchini Yemen

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi kumng’oa Spika EAC yafutwa

Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), juzi imeifuta kesi ya kupinga kuondolewa madarakani kwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Dk Margret Zziwa baada ya upande wa walalamikaji kuamua kutoendelea na kesi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani