Marais EAC kuamua hatima ya Nkurunziza
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WAKUU wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanatarajia kukutana Dar es Saalam Mei 13 mwaka huu, katika mkutano wa dharura utakaoamua hatima ya Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi.
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa jana, ilieleza kuwa hatua hiyo imechukuliwa wiki chache baada ya amani kuchafuka nchini Burundi kutokana na chama tawala cha CNDD-FDD kumteua Rais Nkurunziza kuwania nafasi hiyo kwa muhula wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWANAHARAKATI WA BURUNDI WAWATAKA MARAIS WA EAC KUTUMIA NGUVU ZA KIJESHI KUMNG’OA NKURUNZIZA
9 years ago
Habarileo07 Sep
Wauza mawese kuamua hatima ya wabunge
KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT – Wazalendo, Kabwe Zitto amesema kuwa wauza mawese ndiyo wataamua hatima ya ubunge wa wagombea ubunge mkoani Kigoma.
10 years ago
BBCSwahili11 Jul
Viongozi wa Ulaya kuamua hatima ya Ugiriki
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Hoja kuamua hatima Bunge la katiba leo
5 years ago
BBCSwahili27 Jun
Jinsi rais Nkurunziza alivyowapanga marais Kagame, Kenyatta, Kikwete na Museveni
11 years ago
BBCSwahili30 Apr
Sudan K.kujua hatima yake katika EAC leo
10 years ago
Mtanzania13 May
Upinzani Burundi wawaonya marais EAC
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
WAKATI marais wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakitarajiwa kukutana Dar es Salaam leo kujadili mzozo wa Burundi, wapinzani wa Rais Pierre Nkurunziza, wameapa kwa kusema kuwa ni lazima kiongozi huyo ang’atuke madarakani.
Pamoja na hali hiyo pia wameonya kuwa silaha zinazozagaa kwa wanamgambo nchini humo zikusanywe kwa vile ni hatari hata kwa usalama wa nchi jirani.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa...
10 years ago
Mtanzania14 Mar
Marais wa EAC kujadili sekta ya uchukuzi
Veronica Romwald na Jacqueline Swai (RCT), Dar es Salaam
MARAIS wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwa mara ya kwanza watakutana nchini kujadili jinsi ya kushirikiana kwa pamoja katika sekta ya uchukuzi na usafirishaji katika ukanda wa kati (Central Corridor).
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, alisema marais hao watakutana Machi 23, mwaka huu na nchi zitakazoshiriki ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
“Leo...
10 years ago
BBCSwahili20 Feb
Marais wa EAC kukutana Nairobi, Kenya