Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marais wa EAC kujadili sekta ya uchukuzi

Veronica Romwald na Jacqueline Swai (RCT), Dar es Salaam

MARAIS wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwa mara ya kwanza watakutana nchini kujadili jinsi ya kushirikiana kwa pamoja katika sekta ya uchukuzi na usafirishaji katika ukanda wa kati (Central Corridor).
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, alisema marais hao watakutana Machi 23, mwaka huu na nchi zitakazoshiriki ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
“Leo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WADAU WA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA WAKUTANA KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA HIYO NCHINI

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA)Charles M. Chacha (Kushoto), akiteta jambo na mmiliki wa kampuni ya Tran World ya nchini Dubai Mr. Adil Jadid kulia) wakati wa mkutano wa wadau wa sekta ya usafiri wa anga Tanzania. Mkutano huo unatoa fursa za kujadili maendeleo ya sekta hiyo nchini . Mkutano ulifanyika makao makuu ya Mamlaka ya usafiri wa Anga jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mjumbe wa Bodi wa TCAA Yussuf Mohammed Ally. Baadhi ya wadau wa sekta ya usafiri wa...

 

10 years ago

Habarileo

Marais 15 Afrika kujadili ugaidi

RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajiwa kuungana na marais wengine 14 wa Afrika, kujadili mbinu za kupambana na ugaidi na matukio mengine kuhifadhi raia wa Nepal yanayotishia hali ya usalama barani Afrika.

 

10 years ago

Habarileo

Marais kujadili Shirikisho la Afrika Mashariki

MKUTANO wa 16 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), utafanyika mwishoni mwa mwezi huu jijini Nairobi, Kenya ambapo pamoja na mambo mengine utajadili hatua iliyofikiwa ya uanzishwaji wa Shirikisho la Kisiasa la Afrika Mashariki.

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFANYA MKUTANO NA WADAU WA SEKTA YA MALIASILI NCHINI KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA HIYO

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Maliasili nchini leo tarehe 26 Novemba 2015 katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Bustani Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umeshirikisha wadau mbalimbali wakiwemo wa Wizara zenye muelekeo wa Maliasili, Sekta binafsi, NGOs, Waandishi wa habari na wadau wengine. Mada mbalimbali kutoka katika Sekta ndogo za Wanyamapori, Misitu, Utalii, Mambo ya Kale na Uvuvi...

 

10 years ago

Habarileo

Mabadiliko makubwa sekta ya uchukuzi

Meneja wa Mradi mpya wa Mfumo wa Kielektroniki wa Kuboresha Utoaji wa Mizigo Bandarini, Phares MagesaMOJA ya sekta ambazo Serikali ya Awamu ya Nne inatarajiwa kujivunia nayo, ni mabadiliko katika sekta ya uchukuzi, ambayo ina mchango mkubwa katika uchumi wa nchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Marais sita kujadili changamoto Ukanda wa Kati

Marais wa nchi sita za Afrika kesho watakuwa na mkutano mkubwa jijini hapa, juu ya uwekezaji na uboreshaji katika ukanda wa kati huku wakitarajiwa kujadili changamoto za kadhaa za kiuwekezaji.

 

11 years ago

Mwananchi

Sekta ya uchukuzi nchini iangaliwe upya

Sekta ya uchukuzi ni moja ya mishipa muhimu mikubwa ya damu kwa ustawi wa uchumi wa nchi yetu lakini imekatwa kiasi kwamba haifanyika kazi inayotakiwa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yakaribisha wawekezaji binafsi kwenye sekta ya uchukuzi

1

Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akiwasilisha bajeti ya wizara yake kwa mwaka 2015/2016 bungeni mjini Dodoma jana.

2

Mbunge wa Kisarawe (CCM) Bw. Suleiman Jafo akichangia mjadala wa bajeti ya wizara ya uchukuzi jana bungeni mjini Dodoma.

3

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwezeshaji Bi. Mary Nagu akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Bw. Lazaro Nyalandu kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana. (PICHA ZOTE NA FATMA SALUM – MAELEZO).

Na Fatma Salum – Maelezo

Serikali kupitia...

 

11 years ago

GPL

TIB NA DBSA ZAINGIA MKATABA KUKOMBOA SEKTA YA UCHUKUZI NCHINI

 Mkurugenzi wa Mipango Mikakati wa Benki ya Rasilimali nchini (TIB Development Bank), Jaffar Machano akifungua mkutano huo wa hafla ya utiaji saini mkataba wa makubaliano.  Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Rasilimali nchini (TIB Development Bank), Peter Noni akizungumza na wadau wakati wa hafla hiyo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani