Marais sita kujadili changamoto Ukanda wa Kati
Marais wa nchi sita za Afrika kesho watakuwa na mkutano mkubwa jijini hapa, juu ya uwekezaji na uboreshaji katika ukanda wa kati huku wakitarajiwa kujadili changamoto za kadhaa za kiuwekezaji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo26 Mar
MARAIS WAWASILI KUHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI WA UKANDA WA KATI WA UWEKEZAJI NA VIWANDA
11 years ago
Habarileo02 Sep
Marais 15 Afrika kujadili ugaidi
RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajiwa kuungana na marais wengine 14 wa Afrika, kujadili mbinu za kupambana na ugaidi na matukio mengine kuhifadhi raia wa Nepal yanayotishia hali ya usalama barani Afrika.
10 years ago
Habarileo21 Nov
Marais kujadili Shirikisho la Afrika Mashariki
MKUTANO wa 16 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), utafanyika mwishoni mwa mwezi huu jijini Nairobi, Kenya ambapo pamoja na mambo mengine utajadili hatua iliyofikiwa ya uanzishwaji wa Shirikisho la Kisiasa la Afrika Mashariki.
10 years ago
Mtanzania14 Mar
Marais wa EAC kujadili sekta ya uchukuzi
Veronica Romwald na Jacqueline Swai (RCT), Dar es Salaam
MARAIS wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwa mara ya kwanza watakutana nchini kujadili jinsi ya kushirikiana kwa pamoja katika sekta ya uchukuzi na usafirishaji katika ukanda wa kati (Central Corridor).
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, alisema marais hao watakutana Machi 23, mwaka huu na nchi zitakazoshiriki ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
“Leo...
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Ukanda wa Kati wapania kukuza uchumi
10 years ago
Habarileo28 Mar
Viongozi wanaounda Ukanda wa Kati wamwagiwa sifa
WAKUU wa Nchi za Afrika Mashariki wanaounda Ukanda wa Kati wamepongezwa kwa kujitoa na kuwezesha kutekelezwa kwa miradi ya miundombinu itakayochangia maendeleo ya uchumi na kuinua maisha ya wananchi katika nchi za ukanda huo.
10 years ago
Dewji Blog08 Mar
JK ahudhuria mkutano wa kujadili miradi iliyoko katika Ukanda wa Kaskazini jijini Kigali, Rwanda
.jpg)
Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kwa furaha sahada la maua baada ya kuwasili Kigali, Rwanda, tayari kwa mkutano na viongozi wenzake wa Jumiya hiyo katika mkutano wa tisa wa wakuu wa nchi hizo kujadili miradi iliyoko katika Ukanda wa Kaskazini (Northern Corridor Integration Projects) katika Hoteli ya Serena mjini Kigali.
Mkutano wa leo pia umehudhuriwa na wakuu wa nchi za Kenya, Uganda na wenyeji Rwanda. Mbali na nchi hizo na...
11 years ago
Dewji Blog15 Apr
Rais Kikwete afungua Mkutano wa Wadau wa Ukanda wa Kati
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete akiongea na wajumbe wa mkutano wa Mradi wa ukanda wa kati wa Uchukuzi wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo leo jijini Dar es Salaam,Mradi huo utahusiha nchi za Afrika Mashariki katika ujenzi wa reli.
Mkurugenzi Mkuu wa Jukwaa la Uchumi wa Nchi za Afrika,Elsie Kanza akisoma risala ya kumkaribisha Mgeni rasmi Mhe.Rais Jakaya Kikwete katika ufunguzi wa Mkutano wa siku moja wa Mradi wa Ukanda wa kati wa Uchukuzi leo jijini Dar es...
11 years ago
Mwananchi30 Oct
Marais wawili wa Zambia wafariki ndani ya miaka sita