Ukanda wa Kati wapania kukuza uchumi
Nchi za Afrika Mashariki na Kati zimetakiwa kuondokana na vitendo vinavyochelewesha ustawi wa mataifa hayo kiuchumi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Marais sita kujadili changamoto Ukanda wa Kati
10 years ago
Habarileo28 Mar
Viongozi wanaounda Ukanda wa Kati wamwagiwa sifa
WAKUU wa Nchi za Afrika Mashariki wanaounda Ukanda wa Kati wamepongezwa kwa kujitoa na kuwezesha kutekelezwa kwa miradi ya miundombinu itakayochangia maendeleo ya uchumi na kuinua maisha ya wananchi katika nchi za ukanda huo.
11 years ago
Mwananchi26 Mar
Kikwete: Ni wakati wa kukuza uchumi
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Miaka 2 ya Mgimwa, kukuza uchumi
10 years ago
Habarileo04 Feb
Tanzania, Ujerumani kukuza uchumi
RAIS Jakaya Kikwete na mgeni wake, Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck wamekubaliana katika kukuza ushirikiano wa kiuchumi, huku Rais Kikwete akiitaka Serikali ya Ujerumani kuenedelea kuisaidia Tanzania katika kukuza uchumi kwa kutoa misaada ya maendeleo na kuwekeza zaidi.
11 years ago
Dewji Blog15 Apr
Rais Kikwete afungua Mkutano wa Wadau wa Ukanda wa Kati
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete akiongea na wajumbe wa mkutano wa Mradi wa ukanda wa kati wa Uchukuzi wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo leo jijini Dar es Salaam,Mradi huo utahusiha nchi za Afrika Mashariki katika ujenzi wa reli.
Mkurugenzi Mkuu wa Jukwaa la Uchumi wa Nchi za Afrika,Elsie Kanza akisoma risala ya kumkaribisha Mgeni rasmi Mhe.Rais Jakaya Kikwete katika ufunguzi wa Mkutano wa siku moja wa Mradi wa Ukanda wa kati wa Uchukuzi leo jijini Dar es...
11 years ago
Tanzania Daima04 Feb
Utalii kukuza uchumi nchi za Afrika
KATIKA kukuza soko la utalii hivi karibuni Afrika Kusini ilifungua ofisi mjini Lagos nchini Nigeria. Ufunguzi wa ofisi hiyo ni ishara ya mwingiliano wa utalii baina ya nchi za Kiafrika ...
5 years ago
MichuziMIAKA MITANO YA KAZI NA KUKAMILIKA KWA UKANDA WA UCHUMI WA MTWARA CORRIDOR
9 years ago
Habarileo03 Dec
Mbunge agawa mbegu za tangawizi kukuza uchumi
MBUNGE wa Madaba, Songea Vijijini, Joseph Mhagama amesema njia rahisi ya kuwainua wananchi ni kutafuta mazao ambayo wakiuza yanaweza kutatua matatizo yao kwa haraka.