Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania, Ujerumani kukuza uchumi

Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck (kushoto) na mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete wakiwasalimia watoto na wananchi baada ya kuwasili Ikulu, Dar es Salaam jana kwa ziara ya siku tano. (Na Mpigapicha Wetu).RAIS Jakaya Kikwete na mgeni wake, Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck wamekubaliana katika kukuza ushirikiano wa kiuchumi, huku Rais Kikwete akiitaka Serikali ya Ujerumani kuenedelea kuisaidia Tanzania katika kukuza uchumi kwa kutoa misaada ya maendeleo na kuwekeza zaidi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

IMF: Tanzania iboreshe sera za kukuza uchumi

Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limesema uchumi wa nchi zilizopo chini ya jangwa la sahara unazidi kuimarika kwa zaidi ya asilimia tano, huku likiitaka Tanzania kuboresha sera za kukuza uchumi kupitia miradi ya maendeleo.

 

10 years ago

Habarileo

Tanzania, Iran zasaini mikataba kukuza uchumi

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe.WIZARA ya Mambo ya Nje Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran wamesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kiuchumi.

 

10 years ago

StarTV

Norway na Tanzania wajadili uwekezaji wa pamoja kukuza uchumi

Katika hali ya kuhakikisha uchumi wa nchi unakuwa  Serikali za Norway na Tanzania zimekutana kujadili fursa mbalimbali za uwekezaji katika sekta ya gesi na mafuta ili kuwezesha nchi hizo kujiimarisha kiuchumi pamoja na kuimarisha uhusiano miongoni mwa mataifa hayo.

Ujumbe kutoka Norway ukiongozwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Monica Maeland umesema uhusiano uliopo baina ya nchi hizo mbili ni njia pekee ya kufungua mtandao mpana wa biashara katika kujiimarisha kiuchumi.

 

Katika mkutano...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jovago Tanzania; Simu za kisasa zitumike katika kukuza uchumi wa nchi

Untitled

Matumizi ya simu za kisasa (smartphones) yameonyesha kuongezeka kwa kasi ambapo zaidi ya Terabyte 76,000 hutumika kwa mwezi mmoja, hii imekuwa ni mara mbili ya takwimu zilizofanyika mwaka 2013 ambapo kulikuwa na matumizi ya TB 37,500 kwa mwezi mmoja katika nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara. (Ripoti ya Subsaharan Africa Ericsson Mobility, 2014).

Kwa upande mwingine , soko la simu za kisasa pia linakua kwa kasi, ambapo inaonyesha kuwa kutakuwa na ongezeko la mara mbili ya manunuzi ya simu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania Limited (USL) zatiliana saini kukuza biashara

1(16)

Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa NHC, David Shambwe akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini hati ya makubaliano kati ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania Limited (USL), leo mchana, makubaliano hayo yataziwezesha pande hizo mbili kushirikiana kibiashara ambapo USL itapewa kipaumbele kwenye kupanga katika miradi ya ujenzi ya majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa popote nchini.

2

Meneja Mkuu wa Uchumi Supermarkets Tanzania, Chriss Lenana akifafanua Jambo...

 

11 years ago

Mwananchi

Kikwete: Ni wakati wa kukuza uchumi

>Rais Jakaya Kikwete juzi alifungua rasmi Barabara ya Mkata-Handeni-Korogwe iliyojengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 119.

 

11 years ago

Mwananchi

Miaka 2 ya Mgimwa, kukuza uchumi

Moja kati ya sikukuu mbaya zilizowahi kutokea kwa Rais Jakaya Kiwete, Serikali na taifa kwa ujumla ni wakati wa kusherehekea mwaka mpya wa 2014, hii ni kutokana na kifo cha aliyekuwa Waziri wa Fedha na Uchumi Dk William Mgimwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ukanda wa Kati wapania kukuza uchumi

Nchi za Afrika Mashariki na Kati zimetakiwa kuondokana na vitendo vinavyochelewesha ustawi wa mataifa hayo kiuchumi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utalii kukuza uchumi nchi za Afrika

KATIKA  kukuza  soko la utalii hivi karibuni  Afrika Kusini ilifungua ofisi mjini Lagos nchini Nigeria. Ufunguzi wa ofisi hiyo ni ishara ya mwingiliano wa utalii baina ya nchi za Kiafrika ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani