IMF: Tanzania iboreshe sera za kukuza uchumi
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limesema uchumi wa nchi zilizopo chini ya jangwa la sahara unazidi kuimarika kwa zaidi ya asilimia tano, huku likiitaka Tanzania kuboresha sera za kukuza uchumi kupitia miradi ya maendeleo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo02 Oct
IMF yavutiwa na uchumi wa Tanzania
SHIRIKA la Fedha Duniani (IMF) limesema kuwa limevutiwa na kukua kwa uchumi wa Tanzania. Limesema uchumi wa Tanzania unakua kwa asilimia 7 na utaendelea kukua kwa kiwango hicho katika miezi iliyobakia mwaka huu hadi mwakani.
5 years ago
Michuzi06 Mar
IMF yaridhishwa mwenendo wa ukuaji wa Uchumi nchini Tanzania
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/1200px-International_Monetary_Fund_logo.svg_.png)
Na Ripota Wetu-Michuzi Blog Jitihada za makusudi za Serikali ya Awamu ya Tano katika kusimamia na kutekeleza sera madhubuti za fedha na uchumi hasa katika kusimamia ukusanyaji wa mapato na matumizi, kupunguza matumizi yasiyo ya lazima, pamoja na usimamizi wa Benki, zimeelezwa kuwa ni miongoni mwa vitu vilivyoifanya Tanzania kukua kiuchumi na kunakoisaidia kue ndelea na ukuaji wa kasi katika siku zijazo.
Kwa mujibu wa ripoti ndogo iliyotolewa Jijini Dar es Salaam na wataalam wa Shirika la...
10 years ago
Habarileo04 Feb
Tanzania, Ujerumani kukuza uchumi
RAIS Jakaya Kikwete na mgeni wake, Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck wamekubaliana katika kukuza ushirikiano wa kiuchumi, huku Rais Kikwete akiitaka Serikali ya Ujerumani kuenedelea kuisaidia Tanzania katika kukuza uchumi kwa kutoa misaada ya maendeleo na kuwekeza zaidi.
10 years ago
Habarileo06 Feb
Tanzania, Iran zasaini mikataba kukuza uchumi
WIZARA ya Mambo ya Nje Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran wamesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kiuchumi.
9 years ago
StarTV18 Sep
Norway na Tanzania wajadili uwekezaji wa pamoja kukuza uchumi
Katika hali ya kuhakikisha uchumi wa nchi unakuwa Serikali za Norway na Tanzania zimekutana kujadili fursa mbalimbali za uwekezaji katika sekta ya gesi na mafuta ili kuwezesha nchi hizo kujiimarisha kiuchumi pamoja na kuimarisha uhusiano miongoni mwa mataifa hayo.
Ujumbe kutoka Norway ukiongozwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Monica Maeland umesema uhusiano uliopo baina ya nchi hizo mbili ni njia pekee ya kufungua mtandao mpana wa biashara katika kujiimarisha kiuchumi.
Katika mkutano...
9 years ago
Dewji Blog20 Aug
Jovago Tanzania; Simu za kisasa zitumike katika kukuza uchumi wa nchi
Matumizi ya simu za kisasa (smartphones) yameonyesha kuongezeka kwa kasi ambapo zaidi ya Terabyte 76,000 hutumika kwa mwezi mmoja, hii imekuwa ni mara mbili ya takwimu zilizofanyika mwaka 2013 ambapo kulikuwa na matumizi ya TB 37,500 kwa mwezi mmoja katika nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara. (Ripoti ya Subsaharan Africa Ericsson Mobility, 2014).
Kwa upande mwingine , soko la simu za kisasa pia linakua kwa kasi, ambapo inaonyesha kuwa kutakuwa na ongezeko la mara mbili ya manunuzi ya simu...
5 years ago
MichuziSHIRIKA LA FEDHA DUNIANI (IMF) LATOA RIPOTI NDOGO YA UKUAJI WA UCHUMI NCHINI TANZANIA,BENKI KUU YATOA UFAFANUZI
Taarifa hiyo iliyotolewa Machi 05 mwaka huu imeeleza, timu ya IMF wakiongozwa na Enrique Gelbard walitembelea Tanzania kuanzia Februari 20 hadi Machi 04...
10 years ago
Vijimambo30 Sep
JK aziponda sera za uchumi za Nyerere, adai zimechangia umasikini wa Tanzania (na maoni yangu)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fwww.thecitizen.co.tz%2Fimage%2Fview%2F-%2F2460580%2FhighRes%2F834518%2F-%2Fmaxw%2F600%2F-%2Fq63f98z%2F-%2FJK%2BPX.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
10 years ago
Dewji Blog15 Aug
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania Limited (USL) zatiliana saini kukuza biashara
Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa NHC, David Shambwe akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini hati ya makubaliano kati ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania Limited (USL), leo mchana, makubaliano hayo yataziwezesha pande hizo mbili kushirikiana kibiashara ambapo USL itapewa kipaumbele kwenye kupanga katika miradi ya ujenzi ya majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa popote nchini.
Meneja Mkuu wa Uchumi Supermarkets Tanzania, Chriss Lenana akifafanua Jambo...