IMF yaridhishwa mwenendo wa ukuaji wa Uchumi nchini Tanzania
Na Ripota Wetu-Michuzi Blog Jitihada za makusudi za Serikali ya Awamu ya Tano katika kusimamia na kutekeleza sera madhubuti za fedha na uchumi hasa katika kusimamia ukusanyaji wa mapato na matumizi, kupunguza matumizi yasiyo ya lazima, pamoja na usimamizi wa Benki, zimeelezwa kuwa ni miongoni mwa vitu vilivyoifanya Tanzania kukua kiuchumi na kunakoisaidia kue ndelea na ukuaji wa kasi katika siku zijazo.
Kwa mujibu wa ripoti ndogo iliyotolewa Jijini Dar es Salaam na wataalam wa Shirika la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziSHIRIKA LA FEDHA DUNIANI (IMF) LATOA RIPOTI NDOGO YA UKUAJI WA UCHUMI NCHINI TANZANIA,BENKI KUU YATOA UFAFANUZI
Taarifa hiyo iliyotolewa Machi 05 mwaka huu imeeleza, timu ya IMF wakiongozwa na Enrique Gelbard walitembelea Tanzania kuanzia Februari 20 hadi Machi 04...
9 years ago
Mwananchi14 Aug
Ukuaji wa uchumi nchini washuka kwa asilimia 2.1
10 years ago
Dewji Blog06 Jun
Sweden yafurahishwa na ukuaji wa uchumi wa Tanzania
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo alipotembelea kiwanda cha METSO cha kutengenezea vipuli vya mitambo ya gesi na mafuta katika jiji la Helsinki, Finland.(Picha na IKULU).
Serikali ya Sweden inaridhishwa na kiwango cha maendeleo ya kiuchumi ya Tanzania kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita na inadhamiria kuinua ushirikiano baina yake na Tanzania ili kuleta maana zaidi katika maendeleo na kukua kwa uchumi kwa ujumla.
Waziri Mkuu wa Sweden Stefan Lofven amesema hayo tarehe 4, Juni,...
9 years ago
Habarileo02 Oct
IMF yavutiwa na uchumi wa Tanzania
SHIRIKA la Fedha Duniani (IMF) limesema kuwa limevutiwa na kukua kwa uchumi wa Tanzania. Limesema uchumi wa Tanzania unakua kwa asilimia 7 na utaendelea kukua kwa kiwango hicho katika miezi iliyobakia mwaka huu hadi mwakani.
10 years ago
Mwananchi21 Oct
IMF: Tanzania iboreshe sera za kukuza uchumi
11 years ago
Michuzisemina ya mkakati wa Rasimu ya mawasiliano ya Mazingira endelevu kwa ukuaji wa uchumi na kupunguza umaskini Tanzania
5 years ago
MichuziWAZIRI UMMY AITAKA BODI MPYA YA TMDA KUWEZESHA UKUAJI WA UCHUMI NA USHAMIRI WA BIASHARA NA UWEKEZAJI TANZANIA
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,...
11 years ago
Michuzisemina ya mkakati wa Rasimu ya mawasiliano ya Mazingira endelevu kwa ukuaji wa uchumi na kupunguza umaskini Tanzania yafanyika leo
5 years ago
MichuziWaziri Biteko: Sekta ya Madini inaongoza kwa ukuaji wa uchumi nchini,makusanyo yamepaa kutoka Bilioni 39/- hadi Bilioni 58/- kwa mwezi