Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wanaounda Ukanda wa Kati wamwagiwa sifa

WAKUU wa Nchi za Afrika Mashariki wanaounda Ukanda wa Kati wamepongezwa kwa kujitoa na kuwezesha kutekelezwa kwa miradi ya miundombinu itakayochangia maendeleo ya uchumi na kuinua maisha ya wananchi katika nchi za ukanda huo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ukanda wa Kati wapania kukuza uchumi

Nchi za Afrika Mashariki na Kati zimetakiwa kuondokana na vitendo vinavyochelewesha ustawi wa mataifa hayo kiuchumi

 

10 years ago

Mwananchi

Marais sita kujadili changamoto Ukanda wa Kati

Marais wa nchi sita za Afrika kesho watakuwa na mkutano mkubwa jijini hapa, juu ya uwekezaji na uboreshaji katika ukanda wa kati huku wakitarajiwa kujadili changamoto za kadhaa za kiuwekezaji.

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Wadau wa Ukanda wa Kati

pix 2

Rais  wa Jamuhuri ya Muungano  wa Tanzania, Jakaya Kikwete  akiongea na wajumbe wa mkutano wa Mradi wa ukanda wa kati wa Uchukuzi  wakati wa ufunguzi wa Mkutano  huo  leo jijini Dar es Salaam,Mradi huo utahusiha nchi za Afrika Mashariki katika ujenzi wa reli.

pix 1

Mkurugenzi Mkuu wa Jukwaa la Uchumi wa Nchi za Afrika,Elsie Kanza akisoma risala ya kumkaribisha Mgeni rasmi Mhe.Rais Jakaya Kikwete katika ufunguzi wa Mkutano wa siku moja wa Mradi wa Ukanda wa kati wa Uchukuzi leo jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

NCHI ZA UKANDA WA KATI WA UCHUKUZI ZASHAURIWA KUCHUKUA NIDHAMU YA UTEKELEZAJI YA BRN

Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais-Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN),  Omari Issa amewashauri Wakuu wa Nchi za Ukanda wa Kati wa Uchukuzi kuwa mifumo ya ufuatiliaji na utekelezaji itakayoharakisha ukamilishaji wa miradi iliyoko katika nchi zao.
Alisisitiza kuwa bila kuwa na mifumo ya ufuatiliaji, baadhi ya nchi zinaweza kumaliza kwa wakati miradi yake; huku nchi nyingine zikichelewa kukamilisha miradi iliyo upande wake. Hali...

 

11 years ago

Michuzi

TFF YAINGILIA KATI KUOKOA MASHINDANO YA VIJANA UKANDA WA MAZIWA MAKUU.

Na Bertha Mollel – Arusha. Shirikisho la kandada nchini Tanzania (TFF) limeingilia kati kuokoa mashindano ya vijana ukanda wa maziwa makuu ambayo yalikuwa hatihati kufanyika na sasa yataendeshwa kwa kushirikiana na waratibu wa mashindano hayo Rollingstone Sports academy ya mjini Arusha chini ya mwamvuli wa mtandao wa taasisi za za soka la vijana afrika mashariki na kati ECAYFA.
Mashindano hayo ya wazi hufanyika kila mwaka mkoani Arusha mwaka huu yatafanyika jijini dar es salaam na...

 

10 years ago

Vijimambo

MARAIS WAWASILI KUHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI WA UKANDA WA KATI WA UWEKEZAJI NA VIWANDA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard K. Membe (Mb) akimpokea Rais wa Uganda Mhe.Yoweri Kaguta Museveni alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam. Mhe. Rais Museveni yupo nchini kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Ukanda wa Kati kuhusu Uwekezaji na Viwanda unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuanzia tarehe 25 hadi 26 Machi, 2015. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA UKANDA WA KATI JIJINI DAR LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akifurahia jambo wakati akitoa hotuba yake katika mkutano wa Wadau wa Ukanda wa kati(alignment meeting on central corridor), alioufungua leo mchana katika ukumbi wa Mwl. Julius Nyerere. Mkutano huo wa wadau ni sehemu ya utekelezaji wa maamuzi ya Mkutano wa Jukwaa la Kiuchumi Duniani (World Economic Forum) iliofanyika Davos Uswiss Mwezi Januari 2014. Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, akitoa hotuba kabla ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kagame awasili Dar es Salaam kushiriki Mkutano wa Uwelezaaji wa Ukanda wa Kati

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard K. Membe (Mb) akisalimiana na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam. Mhe. Rais Kagame yupo nchini kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Ukanda wa Kati kuhusu Uwekezaji na Viwanda unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Rais Kagame akipokea shada la maua kutoka kwa mtoto Elizabeth Jackson kama ishara ya...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kagame awasili jijini Dar es Salaam tayari kwa kushiriki Mkutano wa Uwelezaaji wa Ukanda wa Kati

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard K. Membe (Mb) akisalimiana na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam. Mhe. Rais Kagame yupo nchini kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Ukanda wa Kati kuhusu Uwekezaji na Viwanda unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Rais Kagame akipokea shada la maua kutoka kwa mtoto Elizabeth Jackson kama ishara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani