Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marais kujadili Shirikisho la Afrika Mashariki

MKUTANO wa 16 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), utafanyika mwishoni mwa mwezi huu jijini Nairobi, Kenya ambapo pamoja na mambo mengine utajadili hatua iliyofikiwa ya uanzishwaji wa Shirikisho la Kisiasa la Afrika Mashariki.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....

 

11 years ago

Habarileo

Marais 15 Afrika kujadili ugaidi

RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajiwa kuungana na marais wengine 14 wa Afrika, kujadili mbinu za kupambana na ugaidi na matukio mengine kuhifadhi raia wa Nepal yanayotishia hali ya usalama barani Afrika.

 

11 years ago

GPL

JENGO LA SHIRIKISHO LA AFRIKA MASHARIKI KIJIJINI NAMANGA

Huu ni muonekano wa ofisi za Shirikisho la Afrika Mashariki kwa upande wa Tanzania.  Jengo hili liko mpakani mwa Tanzania na Kenya Katika kijiji cha Namanga Wilaya ya Longido Mkoani Arusha. ( Picha na: Gabriel Ng’osha na Shani…

 

11 years ago

Michuzi

MARAIS WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA WA WAWEKEZAJI MAREKANI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Marais wa nchi za Jumuiya ya Mashariki, Mhe Paul Kagame wa Rwanda, Mhe Yoweri Museveni wa Uganfda, Mhe Uhuru Kenyatta wa Kenya na MhePierre Nkurunzinza wa Burundi wakati wa mkutano wao na wawekezaji wa Kimarekani uliofanyika katika makao makuu ya chama cha wafanyabiashara (US Chamber of Commerce) jijini Washington DC. PICHA NA IKULU

 

10 years ago

Michuzi

MARAIS WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WALAANI JARIBIO LA KUPINDULIWA KWA RAIS NKURUNZINZA - MEMBE

Na Chalila Kibuda,
Globu ya Jamii 
MARAIS wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamelaani kitendo cha baadhi ya askari kufanya jaribio la kutaka kuipindua serikali ya Burundi.Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam leo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe amesema  kuwa hali ya Burundi ni tete na kwamba japo linaonekana ni jambo dogo lakini linaweza kugharimu maisha ya watu. 
"Hivyo tunatakiwa tuvute subira...Tusubiri na sio kulitangaza suala hilo...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA WAWEKEZAJI NA MARAIS WA NCHI 5 ZA AFRIKA MASHARIKI.

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akitoa taarifa ya mkutano wa wawekezaji (Round Table Investment Forum) na wakuu wa nchi 5 za ukanda wa Afrika Mashariki utakaofanyika jijini Dar es salaam kuanzia  Machi 25 hadi 26 mwaka huu.Kamishina wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova akitoa taarifa ya hali ya ulinzi na usalama katika jiji la Dar es salaam na vifo vya watu  7 waliopoteza maisha  kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa  zinazoendelea kunyesha katika jiji la Dar...

 

5 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AFUNGUA MKUTANO WA NCHI 14 ZA SHIRIKISHO LA WAKUU WA POLISI MASHARIKI MWA AFRIKA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi Uganda, John Ndungutse katika hotel ya Golden Tulip jijini Dar es Saalaam baada ya kufungua mkutano wa Kamati Tendaji za Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki mwa Afrika (EAPCCO). Mkutano huo umeshirikisha nchi 14 kutoka kwenye shirikisho hilo ambapo wamekutana kujadili na kupanga  mikakati ya kupambana na uhalifu unaovuka mipaka. Picha na jeshi la Polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP...

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA WAFANYA MKUTANO KUJADILI MASWALA YA KIBIASHARA YA AFRIKA MASHARIKI

Ofisa mikopo kwa wateja wadogowadogo wa Benki ya KCB Tanzania,Teresia Soko akitoa mada kuhusiana na baadhi ya huduma za benki hiyo kwa Wafanyabiashara mbalimbali wa mipaka ya Tanzania,Ambao walikutana jijini Arusha kujadili mikakati ya kibiashara katika soko la jumuiya ya afrika mashariki. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika mashariki Richard Sesibera(kushoto)akiteta jambo na Mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara wa Jumuiya ya Afrika mashariki,Felix Mosha,wakati wa mkutano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani