Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JENGO LA SHIRIKISHO LA AFRIKA MASHARIKI KIJIJINI NAMANGA

Huu ni muonekano wa ofisi za Shirikisho la Afrika Mashariki kwa upande wa Tanzania.  Jengo hili liko mpakani mwa Tanzania na Kenya Katika kijiji cha Namanga Wilaya ya Longido Mkoani Arusha. ( Picha na: Gabriel Ng’osha na Shani…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Marais kujadili Shirikisho la Afrika Mashariki

MKUTANO wa 16 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), utafanyika mwishoni mwa mwezi huu jijini Nairobi, Kenya ambapo pamoja na mambo mengine utajadili hatua iliyofikiwa ya uanzishwaji wa Shirikisho la Kisiasa la Afrika Mashariki.

 

5 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AFUNGUA MKUTANO WA NCHI 14 ZA SHIRIKISHO LA WAKUU WA POLISI MASHARIKI MWA AFRIKA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi Uganda, John Ndungutse katika hotel ya Golden Tulip jijini Dar es Saalaam baada ya kufungua mkutano wa Kamati Tendaji za Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki mwa Afrika (EAPCCO). Mkutano huo umeshirikisha nchi 14 kutoka kwenye shirikisho hilo ambapo wamekutana kujadili na kupanga  mikakati ya kupambana na uhalifu unaovuka mipaka. Picha na jeshi la Polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP...

 

9 years ago

Vijimambo

Jengo refu zaidi lililokamilika Afrika Mashariki na Kati lazinduliwa nchini Tanzania.


Jengo refu zaidi lililokamilika Afrika Mashariki na Kati lazinduliwa nchini Tanzania.
PSPF Towers ni moja ya majengo machache marefu barani Afrika na ndiyo jengo refu zaidi LILILOKAMILIKA Afrika Mashariki na Kati, likiwa na urefu wa mita 147.Majengo mengine marefu Afrika ni Carlton Centre (mita 223) lililopo Afrika Kusini, Hassan II Mosque (mita 210) lililopo Moroko, Ponte City (mita 173) lililopo Afrika Kusini, Necon House (Mita 160) lililopo Nigeria, Marble Tower (mita 152), Pear dawn (mita...

 

10 years ago

Michuzi

MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....

 

10 years ago

Bongo5

Director Godfather wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku 7 Afrika Mashariki na crew yake

Muongozaji wa video, Godfather kutoka Afrika Kusini ambaye ameshafanya kazi na wasanii wengi wa Tanzania wakiwemo Diamond, Ommy Dimpoz, Alikiba, Linah na wengine, anatarajia kufanya ziara ya Afrika mashariki akiwa na crew yake. Katika ziara hiyo ya siku saba itakayoanza mwisho wa mwezi huu wa nne, Godfather amesema atakuwa tayari kufanya video na wasanii wa […]

 

9 years ago

Habarileo

Etoile mabingwa Shirikisho Afrika

TIMU ya Tunisia ya Etoile Du Sahel juzi iliifunga Orlando Pirates 1-0 ya Afrika Kusini katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho na kutwaa taji hilo kwa ushindi wa jumla ya mabao 2-1.

 

10 years ago

Michuzi

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM achaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Afrika Kanda ya Afrika Mashariki

 Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM),Mboni Mhita (katikati) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) pamoja na baadhi ya vijana wa Mkoa wa Dar es salaam leo,juu ushindi wake alioupata katika Uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana Barani Afrika,ambapo yeye amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja huo kwa upande wa Afrika Mashariki.Uchaguzi huo ulifanyika Mwishoni mwa mwezi uliopita katika Jiji la Johannesburg,nchini Afrika Kusini.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani