Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIB NA DBSA ZAINGIA MKATABA KUKOMBOA SEKTA YA UCHUKUZI NCHINI

 Mkurugenzi wa Mipango Mikakati wa Benki ya Rasilimali nchini (TIB Development Bank), Jaffar Machano akifungua mkutano huo wa hafla ya utiaji saini mkataba wa makubaliano.  Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Rasilimali nchini (TIB Development Bank), Peter Noni akizungumza na wadau wakati wa hafla hiyo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sekta ya uchukuzi nchini iangaliwe upya

Sekta ya uchukuzi ni moja ya mishipa muhimu mikubwa ya damu kwa ustawi wa uchumi wa nchi yetu lakini imekatwa kiasi kwamba haifanyika kazi inayotakiwa.

 

10 years ago

Michuzi

Wizara ya uchukuzi yasaini mkataba na kutekeleza amradi wa treni za kisasa nchini

Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), Mhandisi Kipalo Kisamfu(aliyevaa koti la kaki), na Balozi wa heshima wa Tanzania nchini Marekani na mmiliki wa Kampuni ya M/s Shumoja kutoka nchini Marekani, Robert Shumake wakisaini Mkataba wa awali wa mradi wa treni za kisasa zitakazohudumia abiria kutoka stesheni ya Dar es Salaam mpaka Pugu kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, leo asubuhi katika ofisi za Wizara ya Uchukuzi. Wanaoshuhudia na Waziri wa Uchukuzi, Dkt Harrison...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yasaini mkataba wa zaidi ya Sh. Bilioni 422 kuimarisha sekta ya afya nchini

01

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akisaini hati ya makubaliano ya mkopo nafuu kati ya Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia ili kuimarisha sekta ya afya nchini katika hafla iliyofanyika jana jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella Bird.

02

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akibadilishana hati ya makubaliano ya mkopo nafuu na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella Bird...

 

9 years ago

Mwananchi

TIB yasaini mkataba wa usimamizi na Serikali

Benki ya Maendeleo (TIB), imesaini mkataba wa kiuetendaji na Serikali, hatua inayofungua milango kwa Serikali kuweza kusimamia na kukagua ufanisi wa benki hiyo katika kuleta tija kwa Taifa.

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA TIB YASAINI MKATABA WA KIUTENDAJI NA SERIKALI

 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa benki ya Maendeleo TIB Prof. William Lyakurwa (wapili kushoto) na Msajili Hazina Bw. Lawrence Mafuru (wa pili kulia) wakibadilishana mikataba ya makubaliano ya kiutendaji kwenye hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Mkataba huo unalenga kufungua milango kwa serikali kuweza kusimamia na kukagua ufanisi wa benki hiyo katika kuleta tija kwa taifa. Wanaoshuhudia ni pamoja na Msajili Hazina msaidizi Bw. Mwakibinga Mihalale (wa pili...

 

10 years ago

Michuzi

TIB NA TAMISEMI WATILIANA SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO

TIB Development Bank, taasisi kuu ya fedha nchini katika maendeleo, pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wametia saini makubaliano ya ushirikiano (MOU) ya ufadhili wa miradi ya miundombinu kwenye Serikali za Mitaa.
Makubaliano hayo yaliyotiwa saini na Mh. Jumanne Sagini, Katibu Mkuu TAMISEMI na Bw. Peter Noni, Mkurugenzi Mtendaji, TIB Development Bank yanaimarisha msingi wa taasisi hizi mbili wa uboreshwaji mifumo na utoaji wa huduma bora kwa jamii...

 

9 years ago

StarTV

Tanesco na TIB wasaini mkataba wa dola milioni 140

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesaini mkataba wa dola milioni 140 na Benki ya Uwekezaji Tanzania (TIB) kwa ajili ya ujenzi wa Mradi wa mitambo ya umeme kutoka Somanga Kilwa hadi Kinyerezi Dar es salaam.

Mradi huo utazalisha umeme wa KV400 ambazo zitapunguza tatizo la mgao wa umeme utachukua jumla ya miaka miwili hadi kukamilika kwake .

 TANESCO imesema mradi huo utasaidia mpango wa kuongeza umeme katika gridi ya Taifa pamoja na kuimarisha umeme wa uhakika katika maeneo ya Lindi ,...

 

10 years ago

Michuzi

TIB officially transformed to TIB Development Bank Limited and TIB Corporate Finance Limited

The Bank of Tanzania (BoT) has issued two licenses to TIB Development Bank Limited and TIB Corporate Finance Limited, which is a designated Commercial Bank subsidiary of the former.
TIB Development Bank Managing Director, Peter Noni told the press yesterday at the 39th Dar es Salaam International Trade Fair that the licenses have been issued by BoT in June 2015 for the Development and Corporate bank to engage in development financing and commercial banking activities respectively. He said TIB...

 

10 years ago

GPL

TRL YASAINI MKATABA NA BENKI YA MAENDELEO YA TIB KWA AJILI YA UENDESHAJI WA KAMPUNI HIYO

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya TIB, Bw. Peter Noni (kulia), akitia saini mkataba wa mkopo wa sh bilioni 12 na Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Severin Kaombwe (katikati), kwa ajili ya uendeshaji wa kampuni hiyo (kushoto), Meneja wa (TRL) Kipallo Aman Kisamfu, anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Mipango Mikakati wa Benki hiyo Bw, Jaffer Machano. hafla hiyo ilifanyika katika ofisi ya Benki hiyo jijini Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani