Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENKI YA TIB YASAINI MKATABA WA KIUTENDAJI NA SERIKALI

 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa benki ya Maendeleo TIB Prof. William Lyakurwa (wapili kushoto) na Msajili Hazina Bw. Lawrence Mafuru (wa pili kulia) wakibadilishana mikataba ya makubaliano ya kiutendaji kwenye hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Mkataba huo unalenga kufungua milango kwa serikali kuweza kusimamia na kukagua ufanisi wa benki hiyo katika kuleta tija kwa taifa. Wanaoshuhudia ni pamoja na Msajili Hazina msaidizi Bw. Mwakibinga Mihalale (wa pili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

TIB yasaini mkataba wa usimamizi na Serikali

Benki ya Maendeleo (TIB), imesaini mkataba wa kiuetendaji na Serikali, hatua inayofungua milango kwa Serikali kuweza kusimamia na kukagua ufanisi wa benki hiyo katika kuleta tija kwa Taifa.

 

10 years ago

Michuzi

TRL YASAINI MKATABA NA BENKI YA MAENDELEO YA TIB KWA AJILI YA UNDESHAJI WA KAMPUNI HIYO

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya TIB, Bw. Peter Noni (kulia), akitia saini mkataba wa mkopo wa sh bilioni 12 na Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Severin Kaombwe (katikati), kwa ajili ya uendeshaji wa kampuni hiyo (kushoto), Meneja wa (TRL) Kipallo Aman Kisamfu, anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Mipango Mikakati wa Benki hiyo Bw, Jaffer Machano. hafla hiyo ilifanyika katika ofisi ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya TIB, Bw....

 

10 years ago

GPL

TRL YASAINI MKATABA NA BENKI YA MAENDELEO YA TIB KWA AJILI YA UENDESHAJI WA KAMPUNI HIYO

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya TIB, Bw. Peter Noni (kulia), akitia saini mkataba wa mkopo wa sh bilioni 12 na Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Severin Kaombwe (katikati), kwa ajili ya uendeshaji wa kampuni hiyo (kushoto), Meneja wa (TRL) Kipallo Aman Kisamfu, anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Mipango Mikakati wa Benki hiyo Bw, Jaffer Machano. hafla hiyo ilifanyika katika ofisi ya Benki hiyo jijini Dar...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YASAINI MKATABA WA HALI BORA ZA WAFANYAKAZI WAKE

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa uwekaji saini wa Mkataba wa Hali Bora za Wafanyakazi na Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Fedha, Viwanda, Biashara, Huduma na Ushauri (TUICO) uliofanyika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Dorah Ngaliga na Katibu wa Benki, John Rugambo.   Baadhi ya maofisa wa CRDB wakiwa katika mkutano huo. Katibu Mkuu Msaidizi wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Fedha, Viwanda, Biashara, Huduma na...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yasaini mkataba wa mwaka mmoja na Stand United FC

 Mkuu wa matawi wa Benki ya Exim Kanda ya Ziwa, Bw. Justus Mukurasi (wapili kushoto) akibadilishana mkataba na Mwenyekiti wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Stand United, Bw. Amani Vicent (wapili kulia) wakati wa hafla fupi iliyofanyika mkoani Shinyanga jana. Mkataba huo utaiwezesha benki kuidhamini timu hiyo katika ligi kuu ya mpira wa miguu ya Vodacom (VPL) katika msimu wa 2014/2015. Wakishuhudia wa kwanza kushoto ni Meneja Msaidizi Tawi la Shinyanga, Bw. Hatunga Nicodemus na Katibu wa ...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yasaini mkataba wa Sh. bilioni 15.5 kutoka benki ya ADB kuboresha kituo cha utafiti MUHAS.

Katibu Mkuu Wizara ya fedha Bw. Servacius Likwalile (kushoto) akisaini Mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) kwa ajili ya kuboresha kituo cha utafiti wa magonjwa ya moyo kinachosimamiwa na Chuo Kuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Muwakilishi wa Benki ya ADB nchini Tonia Kandiero akisaini mkataba huo kwa niaba ya Rais wa benki hiyo Dkt. Donald Kaberuka.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii...

 

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI YASAINI MKATABA WA KUKUSANYA ZAIDI YA SH. MILIONI 12 KUPITIA MAPATO YA NDANI

FE1
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akisaini Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya Sh. milioni 12,362,969 za mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 hivi karibuni jijini Dar es salaam ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bernard Mchomvu.FE2Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akibadilisha hati ya mkataba wa makubaliano na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yasaini mkataba wa zaidi ya Sh. Bilioni 422 kuimarisha sekta ya afya nchini

01

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akisaini hati ya makubaliano ya mkopo nafuu kati ya Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia ili kuimarisha sekta ya afya nchini katika hafla iliyofanyika jana jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella Bird.

02

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) akibadilishana hati ya makubaliano ya mkopo nafuu na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi Bella Bird...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani