Upinzani Burundi wawaonya marais EAC
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
WAKATI marais wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakitarajiwa kukutana Dar es Salaam leo kujadili mzozo wa Burundi, wapinzani wa Rais Pierre Nkurunziza, wameapa kwa kusema kuwa ni lazima kiongozi huyo ang’atuke madarakani.
Pamoja na hali hiyo pia wameonya kuwa silaha zinazozagaa kwa wanamgambo nchini humo zikusanywe kwa vile ni hatari hata kwa usalama wa nchi jirani.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo11 May
Kikwete aita marais EAC kuijadili Burundi
RAIS Jakaya Kikwete ameitisha mkutano wa wakuu wenzake wa nchi tano za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ili kujadili hali ya Burundi.
10 years ago
Habarileo01 Jun
Marais EAC wataka uchaguzi wa Rais Burundi uahirishwe
WAKUU wa Nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC), wameitaka Burundi kuahirisha uchaguzi kwa takribani mwezi mmoja na nusu ili kurejesha hali ya amani nchini humo na kulitaka Bunge kusimamia mchakato huo.
10 years ago
GPLWANAHARAKATI WA BURUNDI WAWATAKA MARAIS WA EAC KUTUMIA NGUVU ZA KIJESHI KUMNG’OA NKURUNZIZA
10 years ago
AllAfrica.Com19 May
Burundi: Emergency Meeting of the Ministers of EAC Affairs On Burundi Held in ...
East African Business Week
AllAfrica.com
Arusha — The Ministers of East African Community Affairs on 18th May 2015 in Arusha, held an emergency meeting to address matters emerging in the Republic of Burundi. The meeting was called following the directive issued by the EAC Heads of the State ...
East African leaders to mediate Burundi crisisShanghai Daily (subscription)
E. African ministers to visit...
10 years ago
BBCSwahili20 Feb
Marais wa EAC kukutana Nairobi, Kenya
10 years ago
Mtanzania14 Mar
Marais wa EAC kujadili sekta ya uchukuzi
Veronica Romwald na Jacqueline Swai (RCT), Dar es Salaam
MARAIS wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwa mara ya kwanza watakutana nchini kujadili jinsi ya kushirikiana kwa pamoja katika sekta ya uchukuzi na usafirishaji katika ukanda wa kati (Central Corridor).
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, alisema marais hao watakutana Machi 23, mwaka huu na nchi zitakazoshiriki ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
“Leo...
10 years ago
Mtanzania08 May
Marais EAC kuamua hatima ya Nkurunziza
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WAKUU wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanatarajia kukutana Dar es Saalam Mei 13 mwaka huu, katika mkutano wa dharura utakaoamua hatima ya Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi.
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa jana, ilieleza kuwa hatua hiyo imechukuliwa wiki chache baada ya amani kuchafuka nchini Burundi kutokana na chama tawala cha CNDD-FDD kumteua Rais Nkurunziza kuwania nafasi hiyo kwa muhula wa...
10 years ago
Habarileo13 May
JK kuongoza marais kuijadili Burundi
MSIMAMO wa nchi wanachama wa Jumuiya wa Afrika Mashariki (EAC) juu ya hali ya kisiasa Burundi, inatarajiwa kujulikana leo baada ya kikao cha marais wa nchi tano za jumuiya hiyo kukutana jijini Dar es Salaam.
9 years ago
BBCSwahili24 Aug
AI:Upinzani unanyanyaswa Burundi