Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK kuongoza marais kuijadili Burundi

Rais Pierre Nkurunziza wa BurundiMSIMAMO wa nchi wanachama wa Jumuiya wa Afrika Mashariki (EAC) juu ya hali ya kisiasa Burundi, inatarajiwa kujulikana leo baada ya kikao cha marais wa nchi tano za jumuiya hiyo kukutana jijini Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kikwete aita marais EAC kuijadili Burundi

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete ameitisha mkutano wa wakuu wenzake wa nchi tano za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ili kujadili hali ya Burundi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Baraza la usalama la UN kuijadili Burundi

Baraza kuu la usalama la Umoja wa mataifa, linajiandaa kufanya mkutano kuhusiana na mzozo unaondelea nchini Burundi.

 

9 years ago

Mwananchi

Marais wastaafu Afrika kuongoza waangalizi Uchaguzi Mkuu

Marais wastaafu; Goodluck Jonathan wa Nigeria na Armando Guebuza wa Msumbuji wataongoza jopo la waangalizi wa kimataifa wanaotarajiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.

 

10 years ago

Mwananchi

Marais watano wanaotajwa kuongoza kwa mishahara minono barani Afrika hawa hapa

>Wakati Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari akiupunguza mshahara wake muda mfupi baada ya kuingia madarakani mwaka huu, marais wengine wa  Afrika wameonekana kujilimbikizia mishahara mikubwa, tofauti na pato  ‘kiduchu’ la wananchi wao kwa mwaka.

 

10 years ago

Mtanzania

Upinzani Burundi wawaonya marais EAC

(FILES) This file picture taken 05 DecemNa Fredy Azzah, Dar es Salaam
WAKATI marais wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakitarajiwa kukutana Dar es Salaam leo kujadili mzozo wa Burundi, wapinzani wa Rais Pierre Nkurunziza, wameapa kwa kusema kuwa ni lazima kiongozi huyo ang’atuke madarakani.
Pamoja na hali hiyo pia wameonya kuwa silaha zinazozagaa kwa wanamgambo nchini humo zikusanywe kwa vile ni hatari hata kwa usalama wa nchi jirani.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Habarileo

Marais EAC wataka uchaguzi wa Rais Burundi uahirishwe

Viongozi wa Afrika Mashariki na Afrika Kusini wakiwa jijini Dar es Salaam kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kujadili mgogoro wa Burundi.WAKUU wa Nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC), wameitaka Burundi kuahirisha uchaguzi kwa takribani mwezi mmoja na nusu ili kurejesha hali ya amani nchini humo na kulitaka Bunge kusimamia mchakato huo.

 

10 years ago

GPL

WANAHARAKATI WA BURUNDI WAWATAKA MARAIS WA EAC KUTUMIA NGUVU ZA KIJESHI KUMNG’OA NKURUNZIZA

Wanaharakati hao wakiwa katika mkutano na wanahabari (hawapo pichani). Mwenyekiti wa Taasisi ya Burundi Women and Girls Movement, Prof Christine Mbonyingingo (kati) akizungumza na wanahabari.  Rais wa Taasisi ya Fight For Ongoing Torture, Niyongere Armel akisisitiza…

 

10 years ago

Michuzi

RAIS MUSEVENI ATEULIWA KUWA MSIMAMIZI WA KUONGOZA JUHUDI ZA UPATANISHI MGOGORO WA BURUNDI

Taarifa ya makubaliano toka kwa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki imetolewa leo Ikulu Dar es Salaam wakati wa kuhitimisha Mkutano wa siku mbili wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya hiyo ambapo baadhi ya maadhimio waliyokubaliana ni kwamba Rais Museveni wa Uganda awe msimamizi wa juhudi za upatanishi wa makundi nchini Humo.
Akizungumza wakati wa Mkutano huo, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dkt. Richard Sezibera alisema kuwa Rais wa Uganda, Mhe. Yoweri Museveni apewe jukumu la...

 

5 years ago

Michuzi

SAMIA KUONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA SHEREHE ZA KUAPISHWA KWA RAIS MTEULE WA BURUNDI


 Waziri wa mambo na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Burundi Nchini Tanzania kufuatia kifo cha Rais wa Burundi Mhe. Pirre Nkurunziza aliyefariki Juni 09,2020.. Kulia kwake aliyesimama ni Balozi wa Tanzania nchini Burundi Balozi Gervais Abayeho. Waziri wa mambo na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akisalimiana na Balozi wa Burundi Nchini Tanzania Mhe. Gervais Abayeho Picha ya Rais wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani