Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BOSI ALIYEMNG’ATA HAUSIGELI WAKE KUTINGA KORTINI

Yusta  akiwa hospitalini Mwananyamala alipotembelewa na mtandao huu. …Akipata huduma kutoka kwa muuguzi.  AMINA MAIGE ambaye alikuwa bosi wa hausigeli Yusta Lucas (20) wa jijini Dar es Salaam, atafikishwa mahakamani wakati wowote kwa tuhuma za  kumng’ata sehemu mbalimbali za mwili kwa…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ALIYEMNG’ATA HAUSIGELI NA KUMCHOMA PASI AACHIWA KWA DHAMANA

Amina Said Maige (mwenye miwani) akisubiria kupandishwa kizimbani. Amina akiwa chini ya ulinzi akisubiri kupanda kizimbani. ...akijiziba kwa aibu kabla ya kupanda kizimbani.…

 

10 years ago

Habarileo

'Hausigeli' asimulia bosi alivyomng'ata

MSICHANA Yusta Kashinde (20) aliyejeruhiwa kwa kuchomwa na pasi na kung’atwa sehemu za mwili na mwajiri wake Amina Maige (42), ametoa ushahidi wake mahakamani na kueleza kuwa mshitakiwa alimpiga na alipochoka, alimng’ata.

 

9 years ago

GPL

BOSI AMFANYIA UMAFIA HAUSIGELI WAKE!

UMAFIA wa kutisha! Dada mmoja aliyefahamika kwa jina la Mariamu mkazi wa Mwananyamala jijini Dar, amefanyiwa umafia kama siyo unyama wa kutisha na bosi wake aliyekuwa akimfanyia kazi za ndani.  Mariamu akiwa na majeraha mwilini baada ya kujeruhiwa na bosi wake. Mariam aliliambia gazeti hili juzi kuwa, tukio hilo lilitokea usiku wa Jumapili ya Septemba 13, mwaka huu nyumbani kwa bosi wake huyo aitwaye David maeneo ya Kinondoni...

 

11 years ago

GPL

HAUSIGELI MIAKA 8 AJERUHIWA NA BOSI WAKE

Stori: Makongoro Oging’ Mtoto Miseto (8), anayedaiwa alikuwa akifanya kazi za ndani kwa mama mmoja aliyejulikana kwa jina la  Mary Jerald mkazi wa Kijiji cha Busurwa, Wilaya ya Rorya, mkoani Mara ameokotwa ufukweni mwa Ziwa Victoria Juni 28, mwaka huu akiwa amejeruhiwa na anayedaiwa ni bosi wake. Mtoto Miseto (8) aliyejeruhiwa na anayedaiwa kuwa bosi wake. Taarifa kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo, Akeyo Thomas...

 

10 years ago

GPL

VIDEO: HAUSIGELI ANASWA AKIMNYONYESHA MTOTO WA BOSI WAKE KENYA

HAUSIGELI mmoja nchini Kenya amenaswa akimnyonyesha mtoto wa bosi wake. Hausigeli huyo aitwaye Grace Mwikali Mwema amekutwa akifanya kitendo hicho siku mbili tangu aanze kazi japo jaribio lake halikufanikiwa kwa kuwa mtoto alikataa kunyonya. Mama wa mtoto aligundua tukio hilo kutokana na kamera aliyoitega nyumbani kwake na akuunganisha na simu yake ya mkononi. Msichana huyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi akisubiri kupandishwa...

 

11 years ago

GPL

UKATILI TENA: HAUSIGELI MWINGINE AJERUHIWA VIBAYA NA BOSI WAKE

Majeraha aliyonayo kichwani Melina Mathayo baada ya kupigwa na bosi wake. HAUSIGELI aitwaye Melina Mathayo mwenye umri kati ya miaka 15, ameumizwa vibaya sehemu za kichwani na kulazwa katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam baada ya kupigwa na bosi wake aitwaye Yasintha Rwechungura mkazi wa Boko. Akiongea na mwanahabari wetu akiwa katika hospitali hiyo, Melina amesema amekuwa akipigwa na bosi wake huyo mara kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

DC Makonda kutinga kortini kwa udhalilishaji.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda.
Viongozi wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wanakusudia kumfikisha mahakamani Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, Jumatatu ijayo kwa madai ya kuwakashifu, kuwadhalilisha na kuwatukana.

Viongozi hao ni aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Mgana Msindai.

Akisoma kusudio hilo jana mbele ya waandishi wa habari kwa niaba ya mwenzake, Guninita alisema.

Makonda hakustahili kuteuliwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa kesi kumng’ata yaya atinga kortini

>Kelele na sauti za zomeazomea jana zilitawala kutoka kwa watu waliokusanyika nje ya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakati Amina Maige, anayekabiliwa na shtaka la kujeruhi mfanyakazi wa ndani, alipokuwa akiwasili eneo hilo.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Bosi Bandari kortini



 Adaiwa kutoa zabuni kinyume cha sheria Ni ya upanuzi wa gati namba 13 na 14 Dar  
NA FURAHA OMARY
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Ephraim Mgawe na Naibu wake, Hamad Koshuma, wamefikishwa  mahakamani kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka.

Vigogo hao wanadaiwa kutoa zabuni ya upanuzi wa gati namba 13 na 14 katika Bandari ya Dar es Salaam  kwa China Communications Construction Company (CCCC), bila ya kutangaza zabuni.
Mgawe na mwenzake walifikishwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani