HAUSIGELI MIAKA 8 AJERUHIWA NA BOSI WAKE

Stori: Makongoro Oging’ Mtoto Miseto (8), anayedaiwa alikuwa akifanya kazi za ndani kwa mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Mary Jerald mkazi wa Kijiji cha Busurwa, Wilaya ya Rorya, mkoani Mara ameokotwa ufukweni mwa Ziwa Victoria Juni 28, mwaka huu akiwa amejeruhiwa na anayedaiwa ni bosi wake. Mtoto Miseto (8) aliyejeruhiwa na anayedaiwa kuwa bosi wake. Taarifa kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo, Akeyo Thomas...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
UKATILI TENA: HAUSIGELI MWINGINE AJERUHIWA VIBAYA NA BOSI WAKE
10 years ago
GPL
BOSI AMFANYIA UMAFIA HAUSIGELI WAKE!
11 years ago
GPLBOSI ALIYEMNG’ATA HAUSIGELI WAKE KUTINGA KORTINI
10 years ago
GPL19 Apr
VIDEO: HAUSIGELI ANASWA AKIMNYONYESHA MTOTO WA BOSI WAKE KENYA
11 years ago
Dewji Blog11 Aug
Binti wa kazi ajeruhiwa vibaya kwa kumwagiwa uji wa moto na mke wa bosi wake, kisa wivu wa kimapenzi
Msichana Jackline Lasway akiwa amelazwa katika wodi ya kina mama namba mbili katika hospitali ya Mkoa wa Singida baada ya kujeruhiwa kwa kumwagiwa uji wa moto wakati akiwa dukani kwa bosi wake eneo la soko kuu Manispaa ya Singida.
Na Mwandishi Wetu , Singida.
Msichana mmoja mkazi wa eneo la Minga Manispaa ya Singida amenusurika kifo baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa tajiri wake wa dukani kutokana na kile kinachosadikiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Msichana huyo Jackline Lasway...
11 years ago
Habarileo21 Aug
'Hausigeli' asimulia bosi alivyomng'ata
MSICHANA Yusta Kashinde (20) aliyejeruhiwa kwa kuchomwa na pasi na kung’atwa sehemu za mwili na mwajiri wake Amina Maige (42), ametoa ushahidi wake mahakamani na kueleza kuwa mshitakiwa alimpiga na alipochoka, alimng’ata.
10 years ago
GPL
HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AHUKUMIWA MIAKA 4 JELA
11 years ago
GPL28 May
MZUNGU ALINILAZIMISHA NIFANYE MAPENZI NA MBWA WAKE - HAUSIGELI
11 years ago
GPL
BOSI AMJERUHI MFANYAKAZI WAKE, AZIMIA