MZUNGU ALINILAZIMISHA NIFANYE MAPENZI NA MBWA WAKE - HAUSIGELI
Mzungu amlazimisha Hausigeli kufanya mapenzi na mbwa wake, hausigeli akataa, apewa kichapo na kutupiwa mizigo yake nje ya nyumba!
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLKHAA! MZUNGU DAR ADAIWA KUMLAZIMISHA HAUSIGELI AFANYE MAPENZI NA MBWA WAKE
Stori: Waandishi Wetu KHAA! Katika hali ya kushangaza, dada wa kazi za nyumbani (hausigeli) mkazi wa Tabata jijini Dar aliyetambulika kwa jina moja la Aneth, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudai kuwa bosi wake ambaye ni Mzungu amemlazimisha kufanya mapenzi na mbwa wake. Mapolisi wakiwa wametinga nyumbani kwa mzungu na silaha. Kushoto ni hausigeli.
Mzungu huyo ambaye jina tunalihifadhi, alidaiwa kufanya tukio hilo...
10 years ago
GPLMWENYEKITI WA JKT NILILAZIMISHWA NIFANYE MAPENZI
Mwandishi Wetu/Uwazi
HALI bado ni tete kwa mwenyekiti wa vijana waliofuzu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakini wakakosa ajira, George Mgoba kufuatia kutekwa kwake na kujeruhiwa vibaya hivi karibuni na watu ambao bado hawajajulikana. Mwenyekiti wa vijana waliofuzu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakini wakakosa ajira, George Mgoba akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili . Mgoba ambaye mpaka juzi alikuwa...
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Mbwa wanaosujudiwa kama watoto, lulu na mapenzi
Ilikuwa siku chache baada ya Krismasi. Niliongozana na rafiki yangu mwanahabari wa gazeti moja mashuhuri Ujerumani. Tumekaa moja ya hoteli ambazo kama wewe si mwenyeji hutaijua.
10 years ago
GPLDUNIA IMEKWISHA! WANAFUNZI DAR WAFANYA MAPENZI NA MBWA
RICHARD BUKOS NI kweli kabisa dunia imekwisha! Kanisa la Maombezi la Ebenezer Deliverance la Mbezi ya Salasala jijini Dar lililo chini ya Mchungaji Benson Shirima limegeuzwa danguro la kufanyia ‘usodoma’ kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Benaco waliotoroka majumbani mwao na kukacha masomo. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Benaco waliotoroka majumbani mwao na kukacha masomo wakiwa ndani ya Kanisa la Maombezi la Ebenezer...
9 years ago
GPLBOSI AMFANYIA UMAFIA HAUSIGELI WAKE!
UMAFIA wa kutisha! Dada mmoja aliyefahamika kwa jina la Mariamu mkazi wa Mwananyamala jijini Dar, amefanyiwa umafia kama siyo unyama wa kutisha na bosi wake aliyekuwa akimfanyia kazi za ndani. Â Mariamu akiwa na majeraha mwilini baada ya kujeruhiwa na bosi wake. Mariam aliliambia gazeti hili juzi kuwa, tukio hilo lilitokea usiku wa Jumapili ya Septemba 13, mwaka huu nyumbani kwa bosi wake huyo aitwaye David maeneo ya Kinondoni...
11 years ago
GPLHAUSIGELI MIAKA 8 AJERUHIWA NA BOSI WAKE
Stori: Makongoro Oging’ Mtoto Miseto (8), anayedaiwa alikuwa akifanya kazi za ndani kwa mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Mary Jerald mkazi wa Kijiji cha Busurwa, Wilaya ya Rorya, mkoani Mara ameokotwa ufukweni mwa Ziwa Victoria Juni 28, mwaka huu akiwa amejeruhiwa na anayedaiwa ni bosi wake. Mtoto Miseto (8) aliyejeruhiwa na anayedaiwa kuwa bosi wake. Taarifa kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo, Akeyo Thomas...
10 years ago
GPL19 Apr
VIDEO: HAUSIGELI ANASWA AKIMNYONYESHA MTOTO WA BOSI WAKE KENYA
HAUSIGELI mmoja nchini Kenya amenaswa akimnyonyesha mtoto wa bosi wake. Hausigeli huyo aitwaye Grace Mwikali Mwema amekutwa akifanya kitendo hicho siku mbili tangu aanze kazi japo jaribio lake halikufanikiwa kwa kuwa mtoto alikataa kunyonya. Mama wa mtoto aligundua tukio hilo kutokana na kamera aliyoitega nyumbani kwake na akuunganisha na simu yake ya mkononi. Msichana huyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi akisubiri kupandishwa...
11 years ago
GPLBOSI ALIYEMNG’ATA HAUSIGELI WAKE KUTINGA KORTINI
Yusta  akiwa hospitalini Mwananyamala alipotembelewa na mtandao huu. …Akipata huduma kutoka kwa muuguzi. AMINA MAIGE ambaye alikuwa bosi wa hausigeli Yusta Lucas (20) wa jijini Dar es Salaam, atafikishwa mahakamani wakati wowote kwa tuhuma za kumng’ata sehemu mbalimbali za mwili kwa…
11 years ago
GPLUKATILI TENA: HAUSIGELI MWINGINE AJERUHIWA VIBAYA NA BOSI WAKE
Majeraha aliyonayo kichwani Melina Mathayo baada ya kupigwa na bosi wake. HAUSIGELI aitwaye Melina Mathayo mwenye umri kati ya miaka 15, ameumizwa vibaya sehemu za kichwani na kulazwa katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam baada ya kupigwa na bosi wake aitwaye Yasintha Rwechungura mkazi wa Boko. Akiongea na mwanahabari wetu akiwa katika hospitali hiyo, Melina amesema amekuwa akipigwa na bosi wake huyo mara kwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania