Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbwa wanaosujudiwa kama watoto, lulu na mapenzi

Ilikuwa siku chache baada ya Krismasi. Niliongozana na rafiki yangu mwanahabari wa gazeti moja mashuhuri Ujerumani. Tumekaa moja ya hoteli ambazo kama wewe si mwenyeji hutaijua.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa

Dar es Salaam kumezuka tafrani, umeibuka mtindo mpya wa vibaka kupora kwa makundi kwa kufanya operesheni maalumu katika baadhi ya maeneo. Hivi sasa pamoja na kuwa uhalifu umekithiri nchi nzima, lakini kila eneo kuna uhalifu wa aina yake na huu ulioibuka Dar es Salaam unatisha.

 

11 years ago

Habarileo

Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa

JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.

 

11 years ago

GPL

MZUNGU ALINILAZIMISHA NIFANYE MAPENZI NA MBWA WAKE - HAUSIGELI

Mzungu amlazimisha Hausigeli kufanya mapenzi na mbwa wake, hausigeli akataa, apewa kichapo na kutupiwa mizigo yake nje ya nyumba!

 

10 years ago

GPL

DUNIA IMEKWISHA! WANAFUNZI DAR WAFANYA MAPENZI NA MBWA

RICHARD BUKOS NI kweli kabisa dunia imekwisha! Kanisa la Maombezi la Ebenezer Deliverance la Mbezi ya Salasala jijini Dar lililo chini ya Mchungaji Benson Shirima limegeuzwa danguro la kufanyia ‘usodoma’ kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Benaco waliotoroka majumbani mwao na kukacha masomo. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Benaco waliotoroka majumbani mwao na kukacha masomo wakiwa ndani ya Kanisa la Maombezi la Ebenezer...

 

11 years ago

GPL

KHAA! MZUNGU DAR ADAIWA KUMLAZIMISHA HAUSIGELI AFANYE MAPENZI NA MBWA WAKE

Stori: Waandishi Wetu KHAA! Katika hali ya kushangaza, dada wa kazi za nyumbani (hausigeli) mkazi wa Tabata  jijini Dar aliyetambulika kwa jina moja la Aneth, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudai kuwa bosi wake ambaye ni Mzungu amemlazimisha kufanya mapenzi na mbwa wake. Mapolisi wakiwa wametinga nyumbani kwa mzungu na silaha. Kushoto ni hausigeli.
Mzungu huyo ambaye jina tunalihifadhi, alidaiwa kufanya tukio hilo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mbwa avalishwa na kutembea kama binadamu

Mbwa aliyekuwa amevalia kama mwanadamu huku akitembea kwa miguu yake miwili amezua mjadala katika mitandao ya kijamii.

 

11 years ago

GPL

MBWA AUA WATOTO 2 NDUGU

Stori: Gabriel Ng’osha
AMA kweli kifo kisikie kwa wengine kikikufika ndiyo utakijua kilivyo! Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Ester Shaban (44) amejikuta akirudia machungu ya kufiwa na mume wake kwa kufiwa na watoto wa kuwazaa kutokana na kuumwa na mbwa. Baadhi ya waombolezaji wakiwa na nyuso za huzuni wakati wa kuaga mwili wa marehemu. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Ester alifika Kibamba-Kwembe, nje kidogo ya Jiji la...

 

11 years ago

GPL

LULU, YOUNG D WAKUTWA WAKIFANYA MAPENZI USIKU WA MANANE

Elizabeth Michael 'LULU'. Jana kupitia kwenye kipindi cha U-heard cha Clouds FM chini ya bwana Sudi Brown ama Gossip Cop kulikuwa na fununu kali iliyokuwa inamuhusu mwanadada wa bongomovies  na mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya Young D ' Young Dar es salaam' kama mwenyewe anavyojiita ya wawili hao kukutwa kwenye gari wakifanya lile tendo linaloruhusiwa kufanywa mara baada ya mdada na mkaka kufunga ndoa. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani