MBWA AUA WATOTO 2 NDUGU
![](http://api.ning.com:80/files/ETTd9*7yfBACeDn4rgZxVbm31zbuzj3xnc-Nr8lCi2yNYt0thw8gc-KGQBM2*yWUmUaSZ50g*US4fXHnPyu7xaIAJvR6wNwg/mbwa.jpg)
Stori: Gabriel Ng’osha AMA kweli kifo kisikie kwa wengine kikikufika ndiyo utakijua kilivyo! Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Ester Shaban (44) amejikuta akirudia machungu ya kufiwa na mume wake kwa kufiwa na watoto wa kuwazaa kutokana na kuumwa na mbwa. Baadhi ya waombolezaji wakiwa na nyuso za huzuni wakati wa kuaga mwili wa marehemu. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Ester alifika Kibamba-Kwembe, nje kidogo ya Jiji la...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo24 May
Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa
JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.
11 years ago
Mwananchi25 May
Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa
10 years ago
BBCSwahili10 Sep
Baba aua watoto watano-Marekani
10 years ago
Mtanzania27 Jan
Mama aua watoto wake, awafukia ndani ya nyumba
NA THOMAS MURUGWA, TABORA
JESHI la Polisi linawashikilia watu wawili wakazi wa Manispaa ya Tabora kwa tuhuma za kuwanyonga watoto wawili hadi kufa, kisha kuwafukia ndani ya nyumba waliyokuwa wanaishi.
Tukio hilo la kusikitisha linadaiwa kufanyika juzi saa moja jioni katika eneo la Chechem Manispaa ya Tabora walikokuwa wakiishi watuhumiwa wa mauaji hayo.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Juma Bwire, amethibitisha jana kutokea kwa mauaji hayo ya kikatili na kuwataja watuhumiwa kuwa ni...
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Mbwa wanaosujudiwa kama watoto, lulu na mapenzi
11 years ago
GPLMKUU WA POLISI WILAYA YA BUGURUNI ATOA ONYO KWA WATOTO WA MBWA
10 years ago
Mwananchi28 Aug
Cheyo: Sisi ni ndugu, watoto wa baba mmoja
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-s_KR-9BAeIY/VQFY320X3zI/AAAAAAABdDE/31hVuNUncTA/s72-c/Tita%2B1.jpg)
NDUGU NSAJIGWA KENNEDY MWANG'ONDA ANATAFUTWA NA NDUGU ZAKE
![](http://4.bp.blogspot.com/-s_KR-9BAeIY/VQFY320X3zI/AAAAAAABdDE/31hVuNUncTA/s1600/Tita%2B1.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
Mwinjilisti aua mkewe, ajinyonga
MWINJILISTI wa Kanisa la Anglikana, Elikia Daniel (35), mkazi wa Kijiji cha Gama, wilayani Bagamoyo, Pwani, amemuua mkewe, Mboni Patrick (28) kwa kumkata na panga kichwani na kisha kumfukia kwa...