Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cheyo: Sisi ni ndugu, watoto wa baba mmoja

Ndugu wa kuzaliwa ambao ni wajumbe wa Bunge la Katiba, John na Isaack Cheyo, juzi waliongozana kutoa tamko linalozungumzia Mkutano wa Rais Jakaya Kikwete na uongozi wa vyama vya siasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MBWA AUA WATOTO 2 NDUGU

Stori: Gabriel Ng’osha
AMA kweli kifo kisikie kwa wengine kikikufika ndiyo utakijua kilivyo! Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Ester Shaban (44) amejikuta akirudia machungu ya kufiwa na mume wake kwa kufiwa na watoto wa kuwazaa kutokana na kuumwa na mbwa. Baadhi ya waombolezaji wakiwa na nyuso za huzuni wakati wa kuaga mwili wa marehemu. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Ester alifika Kibamba-Kwembe, nje kidogo ya Jiji la...

 

10 years ago

Vijimambo

MSIBA BRONX NEW YORK NA TANZANIA NDUGU WATANZANIA TUNAOMBA MICHANGO YENU HILI TUWEZE KUMPUMZISHA BABA YETU MPENDWA

MAREHEMU MZEE ALFRED MAGEGE.

Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inaungana na Familia ya Magege kwa masikitiko kutangaza kifo cha marehemu Mzee Alfred Magege kilichotokea jumamosi June 13,2015. Marehemu Alfred Magege alisumbuliwa na Saratani ya mifupa kwa zaidi ya miaka kumi. Marehemu ameacha Mke na watoto 7. Kama kawaida yetu tunaombwa watanzania tujitokeze ili kuwafariji wafiwa.Ili tukamilishe Msiba huu kiasi cha $10,000 kinahitajika.Watanzania...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mmoja kati ya watoto 3 anaolewa mapema Afrika

Mmoja kati ya watoto watatu barani Afrika wanaolewa kabla hawajatimia umri wa miaka 18 Unicef imesema katika mkutano wa AU huko Zambia

 

10 years ago

Habarileo

Baba afungia ndani watoto 4 miezi 10

MWANAMUME mmoja mkazi wa Kijiji cha Msimba wilayani Uvinza, Kigoma, anashikiliwa na Polisi akidaiwa kufungia watoto wake wanne ndani ya nyumba na kuwashindisha njaa kwa takribani miezi 10.

 

10 years ago

BBCSwahili

Baba aua watoto watano-Marekani

Mwanamume mmoja raia wa Marekani anashukiwa kuwaua watoto wake watano na kuwatupa katika jimbo jingine.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watoto watakiwa kupata malezi ya akina baba

SHIRIKA la Save the Children kwa kushirikiana na Umoja wa nchi za Ulaya (EU) wamezindua kampeni ya Baba bora ambayo inahamasisha wanaume kushiriki malezi ya mtoto na sio kuonekana malezi...

 

10 years ago

Vijimambo

JENERETA LAWAUA BABA, MAMA NA WATOTO WOTE

Mwili wa mama, na wa mmoja wa watoto unaonekana kwa mbali nyuma yakeMume, mke na watoto wao watatu wamefariki dunia baada ya kupumua hewa iliyojaa gesi ya “carbon monoxide” iliyokuwa ikitolewa na generator waliloliwasha ndani ya nyumba yao .Katika dhahama hiyo iliyotokea Lagos, Nigeria, miili ya wahanga wote watano iligunduliwa na majirani zao. Majirani wameripoti kuwa baba wa familia hiyo alinunua generator siku mbili kabla ya kukutwa na umauti, na kuliweka chumbani kwake akihofia kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Baba mbaroni kwa kuwabaka watoto wake

Mkazi mmoja wa Miembe Saba wilayani Kibaha mkoani Pwani amekamatwa na polisi akituhumiwa kuwabaka watoto wake wawili wadogo kwa zaidi ya miaka miwili sasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani