Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JENERETA LAWAUA BABA, MAMA NA WATOTO WOTE

Mwili wa mama, na wa mmoja wa watoto unaonekana kwa mbali nyuma yakeMume, mke na watoto wao watatu wamefariki dunia baada ya kupumua hewa iliyojaa gesi ya “carbon monoxide” iliyokuwa ikitolewa na generator waliloliwasha ndani ya nyumba yao .Katika dhahama hiyo iliyotokea Lagos, Nigeria, miili ya wahanga wote watano iligunduliwa na majirani zao. Majirani wameripoti kuwa baba wa familia hiyo alinunua generator siku mbili kabla ya kukutwa na umauti, na kuliweka chumbani kwake akihofia kuwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mama wa watoto waliobakwa na baba yao apata vitisho

>Siku chache baada ya baba aliyedaiwa kubaka watoto wake wawili wakazi wa wa Miembe Saba wilayani Kibaha mkoani Pwani kutiwa mbaroni na polisi, mama wa watoto waliokuwa wakitendewa unyama huo ameanza kupokea vitisho kutoka kwa  baadhi ya ndugu wa mume wake.

 

10 years ago

GPL

WATOTO WAUA BABA, MAMA KATIKA MATUKIO TOFAUTI NIGERIA

Mkono wa baba aliyeuliwa na mwanaye. POLISI katika Jimbo la Enugu, Nigeria, wanachunguza vifo ambapo wanaume wawili wasiokuwa ndugu, waliwaua baba na mama zao katika matukio mawili tofauti. Mauaji hayo yalitokea Aprili 26 Jumapili iliyopita na Aprili 27 Jumatatu ya wiki hii sehemu tofauti ambapo muuaji wa kwanza, Chijioke Onyeke, alimkata baba yake kwa panga mnamo saa 12 jioni katika ugomvi usiofahamika chanzo chake katika kijiji...

 

11 years ago

BBCSwahili

Shambulizi lawaua watoto 6 Libya

Watoto sita wamefariki na wengine wengi kujeruhiwa nchini Libya baada ya shule yao mjini Benghazi kushambuliwa kwa guruneti.

 

5 years ago

CCM Blog

KANISA HALISI LA MUNGU BABA LINAWAKARIBISHA WATU WOTE KWENYE HIJA YA CHANZO HALISI CHA MUNGU BABA, MJINI KIGOMA 26 THEBETI,1(26 APRILI,2020)

KWA NINI  HIJA MOJA HALISI IKO KIGOMA?
Sauti Mpya(2019) ambayo imetangaza kuwa Tanzania ni Taifa Baba ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo imetangaza kuwa Afrika ni Bara la Nuru ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya zile Sauti Saba ilisikika Kigoma-Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya ishara tatu mbinguni (Ufunuo 12:1-9) ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya Nafsi ya Moyo (Miungu tisa mitakatifu iliyofafanuliwa ndani ya Kitabu) ilisikika...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

SHILOLE: KINA MAMA WOTE NISAMEHENI

BAADA ya wiki kadhaa kupita tangu picha zake zisambae zikimuonesha gauni likiwa limevuka nakuachia ‘nido’ wazi, staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameibuka na kuwaomba radhi kinamama wote.
Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Akipiga stori na Over The Weekend, Shilole alisema kuwa anajua kwamba kitendo hicho kimewakwaza wengi na hakukusudia kufanya jambo kama lile. “Nimejifunza...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kuuza jenereta 32 za msaada

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imetangaza kuuza jenereta 32 ambazo zilitolewa kama msaada na nchi washirika wa maendeleo kwa ajili ya kukabiliana na tatizo la ukosefu wa umeme mwaka 2010.

 

10 years ago

Habarileo

‘Asilimia 90 ya watoto wote wanapata chanjo’

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesema asilimia 90 ya watoto wote wa Tanzania sasa wanapata chanjo kutokana na kazi inayofanywa na Taasisi ya Kusambaza Chanjo Duniani ya Global Alliance for Vaccines and Immunisazation (GAVI).

 

11 years ago

Mtanzania

Mama Pinda: Wanawake wote tunataka amani

Mke wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda

Mke wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda

NA MWANDISHI WETU, SEOUL

MKE wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mama Tunu Pinda, amesema wanawake wote duniani wanalilia amani na hawapendi vita wala machafuko kwani husababisha amani kutoweka.

Mama Pinda alitoa wito huo jana wakati akitoa mada kama mzungumzaji mkuu kwenye mkutano wa dunia wa siku tano ulioanza Seoul, Korea Kusini jana.

Mkutano huo ambao umeandaliwa na Taasisi ya Universal Peace Federation (UPF) ambayo inatoa ushauri kwenye Baraza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani