SHILOLE: KINA MAMA WOTE NISAMEHENI

BAADA ya wiki kadhaa kupita tangu picha zake zisambae zikimuonesha gauni likiwa limevuka nakuachia ‘nido’ wazi, staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameibuka na kuwaomba radhi kinamama wote. Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Akipiga stori na Over The Weekend, Shilole alisema kuwa anajua kwamba kitendo hicho kimewakwaza wengi na hakukusudia kufanya jambo kama lile. “Nimejifunza...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies10 May
Leo Ikiwa ni Siku ya Kina Mama Dunia, Hizi ni Jumbe za Baadhi Mastaa wa Bongo Movies kwa Mama Zao
Wema Sepetu
Today Happens to be Mother's Day.... And Since my mummy is the world's best mother it happens to also be her Birthday... Now that is nat just a coincidence, that is a Blessing... I jus get speechless trying to find the right words to say to this woman ryt here... But all in all is I jus wanna let u know on this special day that you are my Rock, my only pillar, the love of my life, you are all I got... And I wish u many more years of Life... I dont know what id do without you......
10 years ago
Tanzania Daima24 Nov
Wenje: CCM imewatupa vijana, kina mama
MBUNGE wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA), amesema Serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeshindwa kuwathamini vijana na wanawake kitendo kinachosababisha uhalifu. Kauli hiyo, ameitoa juzi wakati wa harambee ya...
11 years ago
Tanzania Daima03 Apr
Kina mama Kibaha watakiwa kuacha utegemezi
KINA mama nchini wametakiwa kuachana na tabia ya kuwa tegemezi na badala yake wajiunge katika vikundi vya ujasiriamali kwa lengo la kupamabana na umasikini. Rai hiyo ilitolewa mjini hapa jana...
11 years ago
Dewji Blog24 Jul
Hata wazungu wanawatambua kina Mama Lishe!
Pichani ni Raia wa Kigeni walipokutwa na Camera ya MOblog mjini Iringa wakijipatia mlo wa mchana kwa Mama Lishe wanaofanyabiashara zao ndani ya uzio wa kituo cha Redio Nuru FM.
Pamoja na Halimshauri kuwa nyanyasa watoa huduma za Lishe mitaani kwa kuwafukuza na kuwavunjia vibanda vyao bado watu kama hawa Raia wa kigeni wanawathamani na kutambua umuhimu wao wa kuweka mwili katika Lishe bora.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Bongo Movie wasaidia wodi ya kina mama Mwananyamala
BONGO Movie Club wametoa msaada katika wodi ya kina mama na watoto katika Hospitali ya Mwananyamala, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Msaada huo wa vitu mbalimbali zikiwamo nguo za watoto,...
5 years ago
BBCSwahili28 Feb
Kwanini kina mama walanazimika kuwauza watoto wao Venezuela
11 years ago
GPLDELA: VAZI LINALOTAMBA KWA KINA MAMA SEHEMU NYINGI
5 years ago
BBCSwahili14 May
Shambulio Afghanistan: Vifo katika chumba cha kujifungua kina mama vyafikia 24
10 years ago
VijimamboM/KITI WA TAWI LA CCM CALIFORNIA ATEMBELEA WODI YA KINA-MAMA HOSPITALI YA MWANANYAMALA