Kina mama Kibaha watakiwa kuacha utegemezi
KINA mama nchini wametakiwa kuachana na tabia ya kuwa tegemezi na badala yake wajiunge katika vikundi vya ujasiriamali kwa lengo la kupamabana na umasikini. Rai hiyo ilitolewa mjini hapa jana...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Salma Kikwete aonya wanawake kuacha utegemezi
10 years ago
Bongo Movies10 May
Leo Ikiwa ni Siku ya Kina Mama Dunia, Hizi ni Jumbe za Baadhi Mastaa wa Bongo Movies kwa Mama Zao
Wema Sepetu
Today Happens to be Mother's Day.... And Since my mummy is the world's best mother it happens to also be her Birthday... Now that is nat just a coincidence, that is a Blessing... I jus get speechless trying to find the right words to say to this woman ryt here... But all in all is I jus wanna let u know on this special day that you are my Rock, my only pillar, the love of my life, you are all I got... And I wish u many more years of Life... I dont know what id do without you......
5 years ago
Michuzi
BUNDALA AWAASA WANACCM KONGOWE ,KIBAHA KUACHA SIASA ZA MAJUNGU ILI KUKIIMARISHA CHAMA

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Kibaha Mjini ,Pwani ,Maulid Bundala amewaasa baadhi ya wanachama wa CCM Kongowe na Kibaha kijumla kuachana na siasa za majungu na badala yake wajenge umoja ,upendo na mshikamano ili kukiimarisha chama.
Aidha amekemea kupitapita kwa baadhi ya watu wenye nia ya kugombea nafasi za udiwani na ubunge na kudai atakaebainika kupitapita kuanza kampeni kabla ya wakati atachukuliwa hatua .
Akipokea taarifa ya utekelezaji ya ilani kata ya...
10 years ago
Habarileo07 Nov
Wasimamizi watakiwa kuacha upendeleo
OFISI ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa ya Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imewataka wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kuacha upendeleo kwa wagombea, ushabiki wa kisiasa kwa vyama vya siasa ama wagombea wa vyama na hivyo kutakiwa kuwashirikisha wadau wa uchaguzi hasa viongozi wa vyama vya siasa vilivyopo katika maeneo yao.
11 years ago
Mwananchi06 May
Watakiwa kuacha huduma za uzazi
10 years ago
Habarileo15 Dec
Madereva watakiwa kuacha kulewa
MADEREVA nchini wametakiwa kuzingatia sheria za barabarani, kutotumia vinywaji vyenye kilevi na kuacha tabia ya kuongea na simu au kutuma na kupokea ujumbe wa maneno (sms) wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.
9 years ago
StarTV04 Jan
Watanzania watakiwa kuacha ubinafsi
Watanzania wametakiwa kuachana na ubinafsi na badala yake kuishi kama ndugu ikiwa ni pamoja na kusaidiana ili kuifanya Tanzania kuendelea kuwa Taifa lenye mshikamano barani Afrika.
Kauli hiyo imetolewa na Askofu Rogathe Swai wa Kanisa la Kinondoni Rivavil mara baada ya kushuhudiwa matukio tofauti ya kifisadi na rushwa yaliyojitokeza mwaka jana ikiwemo baadhi ya Watanzania kutuhumiwa kuficha fedha nje ya Nchi.
Katika ibada ya kuimba na kumsifu Mungu ambayo imefanyika kwenye kanisa la Revival...
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Sep
Vijana Kibaha watakiwa kugombea uongozi
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Kibaha Mjini, kimewataka vijana kuthubutu kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika ucaguzi ujao wa Chama na serikali.
Mwenyekiti wa UVCCM Kibaha Mjini, Idd Kanyalu, aliyasema hayo juzi, katika eneo la Mzizizma Zegereni, kata ya Visiga, alipokuwa akizungumza na wananchi, wakati wa ziara ya kamati ya maboresho inayolenga kukagua uhai wa jumuia hiyo.
Kanyalu aliwaasa vijana hao kujipanga kwenye mchakato wa uchaguzi...
11 years ago
Habarileo04 Mar
Watumishi watakiwa kuacha ugonjwa wa vikao
WATUMISHI wa umma kuanzia ngazi za Serikali za Mitaa hadi Serikali Kuu, wametakiwa kuacha ‘ugonjwa’ wa vikao, badala yake wakae ofisini kuwatumikia wananchi.