Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BUNDALA AWAASA WANACCM KONGOWE ,KIBAHA KUACHA SIASA ZA MAJUNGU ILI KUKIIMARISHA CHAMA

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Kibaha Mjini ,Pwani ,Maulid Bundala amewaasa baadhi ya wanachama wa CCM Kongowe na Kibaha kijumla kuachana na siasa za majungu na badala yake wajenge umoja ,upendo na mshikamano ili kukiimarisha chama.

Aidha amekemea kupitapita kwa baadhi ya watu wenye nia ya kugombea nafasi za udiwani na ubunge na kudai atakaebainika kupitapita kuanza kampeni kabla ya wakati atachukuliwa hatua .

Akipokea taarifa ya utekelezaji ya ilani kata ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Idd awaasa wana CCM Zanzibar kuacha tabia ya kupuuza mambo yanayowahusu,ili wasije jutia baadae

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif kizungumza na Viongozi wa Kamati ya Siasa ya Tawi la CCM Upenja.Kushoto yake ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kaskazini “ B” Nd. Hilika Khamis na kulia yake ni Mwenyekiti wa Tawi la CCM Upenja Nd.Daudi Hasnuu Khamis.Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Siasa na Mabalozi wa Nyumba Kumi wa Tawi la CCM Upenja wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi hayupo pichani alipokuwa akizungumza nao kwenye ukumbi wa...

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA CCM DK. JAKAYA KIKWETE AWAASA WANACCM KUIPIGIA KURA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Jakaya Kikwete akihutubia wanaCCM katika maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea leo Februari 1, 2015.

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA- NAWAPONGEZA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA NA NAPE KWA KAZI KUBWA WANAYOIFANYA YA KUKIIMARISHA CHAMA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa kwa furaha na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa wakati wa mapokezi  yaliyofanyika Makuyuni, tayari kuanza ziara mkoani Arusha leo.ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuziMhe. Lowassa amewafagilia Kinana na Nape kwa kazi nzuri wanaoifanya ya kuzunguka mikoa...

 

9 years ago

StarTV

URAIS 2015: Dokta Magufuli awataka wanaCCM kuacha tofauti zao

Mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi CCM Dokta John Magufuli amesema wanachama wa chama hicho hawana haja tena ya kutofautiana kauli baada ya hatua za kuwapata wagombe wa kupeperusha bendera za chama hicho kukamilika.

Dokta Magufuli amesema hatua iliyo mbele ya chama hicho kwa sasa ni kufanya kampeni zenye tija katika harakati za kuhakikisha CCM inaendelea kuwa chama tawala nchini.

 Kukutana na wazee na wanachama wa chama cha mapinduzi mkoa wa Dar es salaam ni tamaduni iliyojengeka...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA MKOA AWAASA VIJANA KUACHA ‘KUDENDEKA’

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akizindua rasmi kampeni ya kupambana na ugonjwa hatari wa Homa ya Ini. Stori: Gladness Mallya
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadik amewaasa vijana kuacha tabia ya kudendeka kwani inasababisha ugonjwa wa homa ya ini. Mheshimiwa Saidi aliyasema hayo kwenye uzinduzi wa kampeni ya homa ya ini iliyofanyika Ijumaa iliyopita katika Hospitali ya Amana ambapo aliwataka vijana...

 

10 years ago

Michuzi

AFANDE SELE AWAASA WASANII KUUNGANA NA KUWA KITU KIMOJA,AWATAKA KUACHA TABIA YA KUBAGUANA.

  Afande Sele akiwa na watoto wake wawili alioachiwa na Marehemu Mama Tunda,ambao ni Tunda na Asante Sanaa wakiwa wamepozi mbele ya Camera ya Globu ya jamii mapema leo mchana,Walipokwenda kwenye Arobaini iliyoanyika mtaa wa Amani mjini Morogoro. Msanii Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya,Mkali wa Rhymes Afande Sele akiushukuru Uongozi wa Clouds Media Group sambamba na kuwashukuru Wasanii hao waliofika kutoa mkono wa pole kwa familia ya Mama mzazi wa marehemu Mama Tunda (aliyekuwa mke wa Msanii...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kina mama Kibaha watakiwa kuacha utegemezi

KINA mama nchini wametakiwa kuachana na tabia ya kuwa tegemezi na badala yake  wajiunge katika  vikundi vya ujasiriamali  kwa lengo la kupamabana na umasikini. Rai hiyo ilitolewa mjini hapa jana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani