Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AFANDE SELE AWAASA WASANII KUUNGANA NA KUWA KITU KIMOJA,AWATAKA KUACHA TABIA YA KUBAGUANA.

  Afande Sele akiwa na watoto wake wawili alioachiwa na Marehemu Mama Tunda,ambao ni Tunda na Asante Sanaa wakiwa wamepozi mbele ya Camera ya Globu ya jamii mapema leo mchana,Walipokwenda kwenye Arobaini iliyoanyika mtaa wa Amani mjini Morogoro. Msanii Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya,Mkali wa Rhymes Afande Sele akiushukuru Uongozi wa Clouds Media Group sambamba na kuwashukuru Wasanii hao waliofika kutoa mkono wa pole kwa familia ya Mama mzazi wa marehemu Mama Tunda (aliyekuwa mke wa Msanii...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Aunty Ezekiel awataka Watanzania kuwa kitu kimoja baada ya uchaguzi

Muigizaji wa filamu nchini, Aunty Ezekiel amewakata Watanzania kuweka pembeni tofauti zao za kiitikadi na vyama baada ya uchaguzi kumalizika. Akizungumza na Bongo5 jana, Aunty amesema amegundua watu wengi hawajui kuna maisha baada ya uchaguzi. “Tunatakiwa kukubali kila kitu kinachofanyika katika uchaguzi kwa sababu wote tuna nia ya kulijenga taifa, kutetea haki ya mtanzania. Tunataka […]

 

5 years ago

Michuzi

DC TANO MWERA AWATAKA WAZAZI NA WANAFAMILIA KUWA KITU KIMOJA BUSEGA

NA MWANDISHI WETU.

MKUU wa Wilaya ya Busega, Mhe.Tano Mwera amewataka Wazazi na Walezi kuwa kitu kimoja kwa wakati huu nchi na Dunia kwa ujumla zipo kwenye mapambano ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa homa kali ya mapafu (COVID-19).

Ambapo amewataka kuwa karibu na familia zao kwa sasa na kuacha mifarakano ambayo itawatenganisha.

DC Tano Mwera ametoa rai hiyo leo 15 Mei ambapo Dunia inaadhimisha siku ya Familia Duniani."Wana Busega ni familia moja tuendelee kushirikiana na kuchukua...

 

10 years ago

Dewji Blog

Afande Sele awasihi wasanii kuwa na moyo wa kusaidiana

Baadhi ya Wasanii wanaotarajiwa kutumbuiza jioni ya leo kwenye tamasha la Fiesta 2014 lenye kauli mbiu (sambaza upendo) wakiwasili mapema leo mchana nyumbani kwa Mama Mkwe wa Afande Sele,mtaa wa Amani mjini Morogoro kwa madhumuni ya kutoa pole kwa Afande Sele pamoja na Familia ya marehemu ya aliyekuwa Mzazi mwenzake Afande Sele,Marehemu Asha aliyetambulika zaidi kwa jina la Mama Tunda,ambaye leo anatimiza siku Arobaini tangu afariki na kuzikwa.

Baadhi ya Wasanii wanaotarajiwa kutumbuiza...

 

11 years ago

Mwananchi

awataka wasanii Bongo fleva kuwa makini na kuacha sifa ili kusonga mbele

Tanzania imejaaliwa kuwa na vipaji vya wanamuziki wengi wa miondoko ya kila aina na baadhi yao wakifanya kazi zaidi ya moja katika fani hiyo.

 

10 years ago

GPL

WASANII WA KILIMANJARO MUSIC WAMFARIJI AFANDE SELE

  Baadhi ya Wasanii waliokuwa kwenye onesho la Kilimanjaro Music Tour lililofanyika mkoani Dodoma jana,leo walipitia nyumbani kwa Mfalme wa Rhymes a.k.a Simba Mzee a.k.a Afande Sele kumpa mkono wa pole na kumfariji kufuatia kifo cha Mzazi mwenzake Mama Tunda kilichotokea mwisho mwa wiki mjini Morogoro.Pichani ni Msanii wa Muziki wa Bongofleva atambulikae kwa jina la Shilole akimfariji Afande Sele .…
...

 

10 years ago

Bongo5

Afande Sele aeleza atakavyokuwa tofauti na wasanii wengine walioingia bungeni

Afande Sele amesema akiingia bungeni hawezi kuwasahau wasanii wenzake kama walivyosahauliwa na wasanii wabunge waliotangulia kuingia mjengoni. Rapper atawania kiti cha ubunge wa jimbo la Morogoro Mjini kwa tiketi cha ya chama cha ACT na ameiambia Bongo5 kuwa akiingia bungeni wasanii watarajie mambo makubwa kutoka kwake. “Lengo langu kubwa kwa wasanii ni kupigania haki za […]

 

10 years ago

Vijimambo

WASANII BONGO FLAVA WAMFARIJI AFANDE SELE KWENYE AROBAINI YA MAMA TUNDA

Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele (Kushoto), akitoa nasaha zake wakati wa arobaini ya marehemu mama Tunda, aliyekuwa mke wa msanii huyo. Arobaini hiyo ilifanyika nyumbani kwa marehemu mtaa wa Amani mjini . Wasanii kadhaa kutoka kila pembe ya nchi walihudhuria na katika nasaha zake, Afande Sele aliwaasanii kuendelea na moyo wa kusaidiana miongoni mwao.Baadhi ya wasanii na wenyeji wao, wakiwa kwenye arobaini hiyoWasanii wakiwasili nyumbani kwa Afande SeleOmy Dimpoz, akitoa...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Idd awaasa wana CCM Zanzibar kuacha tabia ya kupuuza mambo yanayowahusu,ili wasije jutia baadae

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif kizungumza na Viongozi wa Kamati ya Siasa ya Tawi la CCM Upenja.Kushoto yake ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kaskazini “ B” Nd. Hilika Khamis na kulia yake ni Mwenyekiti wa Tawi la CCM Upenja Nd.Daudi Hasnuu Khamis.Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Siasa na Mabalozi wa Nyumba Kumi wa Tawi la CCM Upenja wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi hayupo pichani alipokuwa akizungumza nao kwenye ukumbi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Wasanii walioshiriki tamasha la KIlimanjaro Music Tour 2014 mjini Dodoma wamfariji Msanii mwenzao Afande Sele kwa kufiwa na Mkewe.

  Baadhi ya Wasanii waliokuwa kwenye onesho la Kilimanjaro Music Tour lililofanyika mkoani Dodoma jana,leo walipitia nyumbani kwa Mfalme wa Rhymes a.k.a Simba Mzee a.k.a Afande Sele kumpa mkono wa pole na kumfariji kufuatia kifo cha Mzazi mwenzake Mama Tunda kilichotokea mwisho mwa wiki mjini Morogoro.Pichani ni Msanii wa Muziki wa Bongofleva atambulikae kwa jina la Shilole akimfariji Afande Sele Malkia wa Taarab hapa nchini,Bi Khadija Kopa akimfariji Afande Sele,pichani nyuma ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani