WASANII WA KILIMANJARO MUSIC WAMFARIJI AFANDE SELE

 Baadhi ya Wasanii waliokuwa kwenye onesho la Kilimanjaro Music Tour lililofanyika mkoani Dodoma jana,leo walipitia nyumbani kwa Mfalme wa Rhymes a.k.a Simba Mzee a.k.a Afande Sele kumpa mkono wa pole na kumfariji kufuatia kifo cha Mzazi mwenzake Mama Tunda kilichotokea mwisho mwa wiki mjini Morogoro.Pichani ni Msanii wa Muziki wa Bongofleva atambulikae kwa jina la Shilole akimfariji Afande Sele .… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Wasanii walioshiriki tamasha la KIlimanjaro Music Tour 2014 mjini Dodoma wamfariji Msanii mwenzao Afande Sele kwa kufiwa na Mkewe.


11 years ago
Vijimambo
WASANII BONGO FLAVA WAMFARIJI AFANDE SELE KWENYE AROBAINI YA MAMA TUNDA




11 years ago
Dewji Blog21 Sep
Afande Sele awasihi wasanii kuwa na moyo wa kusaidiana

Baadhi ya Wasanii wanaotarajiwa kutumbuiza jioni ya leo kwenye tamasha la Fiesta 2014 lenye kauli mbiu (sambaza upendo) wakiwasili mapema leo mchana nyumbani kwa Mama Mkwe wa Afande Sele,mtaa wa Amani mjini Morogoro kwa madhumuni ya kutoa pole kwa Afande Sele pamoja na Familia ya marehemu ya aliyekuwa Mzazi mwenzake Afande Sele,Marehemu Asha aliyetambulika zaidi kwa jina la Mama Tunda,ambaye leo anatimiza siku Arobaini tangu afariki na kuzikwa.

Baadhi ya Wasanii wanaotarajiwa kutumbuiza...
10 years ago
Bongo501 Jul
Afande Sele aeleza atakavyokuwa tofauti na wasanii wengine walioingia bungeni
11 years ago
Michuzi
AFANDE SELE AWAASA WASANII KUUNGANA NA KUWA KITU KIMOJA,AWATAKA KUACHA TABIA YA KUBAGUANA.


11 years ago
GPL
MASKINI AFANDE SELE
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Ukata wamkwamisha Afande Sele
11 years ago
GPL
AFANDE SELE ANASWA NA DEMU MPYA