Wasanii walioshiriki tamasha la KIlimanjaro Music Tour 2014 mjini Dodoma wamfariji Msanii mwenzao Afande Sele kwa kufiwa na Mkewe.
![](http://3.bp.blogspot.com/-tWYzYwqEj-8/U_Dj6UUOI-I/AAAAAAACnjs/B4VFQGZbJw8/s72-c/IMG-20140817-WA0024.jpg)
Baadhi ya Wasanii waliokuwa kwenye onesho la Kilimanjaro Music Tour lililofanyika mkoani Dodoma jana,leo walipitia nyumbani kwa Mfalme wa Rhymes a.k.a Simba Mzee a.k.a Afande Sele kumpa mkono wa pole na kumfariji kufuatia kifo cha Mzazi mwenzake Mama Tunda kilichotokea mwisho mwa wiki mjini Morogoro.Pichani ni Msanii wa Muziki wa Bongofleva atambulikae kwa jina la Shilole akimfariji Afande Sele
Malkia wa Taarab hapa nchini,Bi Khadija Kopa akimfariji Afande Sele,pichani nyuma ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-tWYzYwqEj-8/U_Dj6UUOI-I/AAAAAAACnjs/B4VFQGZbJw8/s1600/IMG-20140817-WA0024.jpg)
WASANII WA KILIMANJARO MUSIC WAMFARIJI AFANDE SELE
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-aA19mco1E9k/VB8BQzMve4I/AAAAAAAAL4I/2hEINLTgwA8/s72-c/14.jpg)
WASANII BONGO FLAVA WAMFARIJI AFANDE SELE KWENYE AROBAINI YA MAMA TUNDA
![](http://4.bp.blogspot.com/-aA19mco1E9k/VB8BQzMve4I/AAAAAAAAL4I/2hEINLTgwA8/s1600/14.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-dm-j0Y4avNo/VB8BWYSLk_I/AAAAAAAAL4Q/MbvIJvDWGLg/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-xuTYHFroXMk/VB8BY3URcaI/AAAAAAAAL4Y/mWmXz9Givl8/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-JVdoxTVqKMU/VB8BaM6vU8I/AAAAAAAAL4g/LMXEHU-wlS0/s1600/4.jpg)
10 years ago
Michuzi16 Feb
Tanzania Bloggers Network Wamfariji Mzee John Kitime kwa Kufiwa na mkewe
![Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN), Joachim Mushi (kulia) akikabidhi ubani wa fedha shilingi 900,000 na kutoa pole kwa mwanamziki mkongwe, John Kitime (kushoto) ambaye amefiwa juzi na mkewe, tukio hilo lilifanyika jana Kimara eneo la Nguzo ya 800, jijini Dar es Salaam. Mzee Kitime ni mwanachama wa TBN.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/02/Mwenyekiti-wa-muda-wa-Chama-cha-Bloggers-Tanzania-TBN-Joachim-Mushi-kulia-akikabidhi-ubani-wa-fedha-shilingi-900000-kwa-mwanamziki-mkongwe-John-Kitime-kushoto-ambaye-amefiwa-juzi-na-mkewe-tukio-hilo-lilifanyika-Kima1.jpg)
![Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN), Joachim Mushi (kulia) akitoa ujumbe wa pole kwa John Kitime na waombelezaji mara baada ya kukabidhi ubani wa fedha zilizotolewa na wanachama wa TBN jana eneo la Kimara Nguzo ya 800 jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wajumbe wa TBN walifika kumfariji Kitime ambaye pia ni mwanachama wa TBN.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150215-WA0080.jpg)
10 years ago
Bongo518 Aug
Kili Music Tour 2014: Wasanii wawasha moto Dodoma
11 years ago
CloudsFM14 Aug
HALI YA AFANDE SELE SI NZURI BAADA YA KUFIWA NA MAMA WA WATOTO WAKE
Msanii wa Bongo Fleva,Afande Sele hali yake imekuwa mbaya baada ya kufiwa na mzazi mwenziye Asha Mohamed’Mama Tunda’.
Msanii huyo inawezekana akawa ni moja kati ya watu maarufu hapa nchini ambao wanaongoza kwa kuwataja wenza wao sehemu tofauti tofauti ambapo zaidi ya miaka 10 amesikika akimtaja wa ubavu wake, mara kwa mara hiyo ni wakati wakiwa wanaishi pamoja na mama tunda ambaye ni mzazi mwenzake waliyezaa nae watoto wawili, wa kwanza ni Tunda pamoja na Asante Sanaa. Mama Tunda amefariki...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S5oOR1dkyIkN92QmhYmeVtld3ADmCK0WMZjDCG9ouV5pBWoXf5eVprwZXG0B3gAgJiWgX1eaFS3rQngHlIaXJHEN9jMQnj0i/AFANDE.jpg)
AFANDE SELE AZIMIA AKIMZIKA MKEWE!
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-D0QtD5Vd2Pc/U4H8ZD3C4vI/AAAAAAAAju8/Y1RlTtPoy1w/s72-c/4.jpg)
MOSHI YAFUNIKA TAMASHA LA KILIMANJARO MUSIC TOUR
![](http://4.bp.blogspot.com/-D0QtD5Vd2Pc/U4H8ZD3C4vI/AAAAAAAAju8/Y1RlTtPoy1w/s1600/4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-hxyo6A0O7rY/U4H8Z0WNAgI/AAAAAAAAjvM/xvawts0A830/s1600/5.jpg)
10 years ago
Dewji Blog21 Sep
Afande Sele awasihi wasanii kuwa na moyo wa kusaidiana
![](http://2.bp.blogspot.com/-3Dd2xTKMBHY/VB64CVvJVeI/AAAAAAACrUs/K9a-pgpi8JQ/s1600/1.jpg)
Baadhi ya Wasanii wanaotarajiwa kutumbuiza jioni ya leo kwenye tamasha la Fiesta 2014 lenye kauli mbiu (sambaza upendo) wakiwasili mapema leo mchana nyumbani kwa Mama Mkwe wa Afande Sele,mtaa wa Amani mjini Morogoro kwa madhumuni ya kutoa pole kwa Afande Sele pamoja na Familia ya marehemu ya aliyekuwa Mzazi mwenzake Afande Sele,Marehemu Asha aliyetambulika zaidi kwa jina la Mama Tunda,ambaye leo anatimiza siku Arobaini tangu afariki na kuzikwa.
![](http://1.bp.blogspot.com/-Pm-4pKjmoD8/VB64GRimMhI/AAAAAAACrVg/fh8A39hukbc/s1600/2.jpg)
Baadhi ya Wasanii wanaotarajiwa kutumbuiza...
10 years ago
Bongo501 Jul
Afande Sele aeleza atakavyokuwa tofauti na wasanii wengine walioingia bungeni