WASANII BONGO FLAVA WAMFARIJI AFANDE SELE KWENYE AROBAINI YA MAMA TUNDA
![](http://4.bp.blogspot.com/-aA19mco1E9k/VB8BQzMve4I/AAAAAAAAL4I/2hEINLTgwA8/s72-c/14.jpg)
Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele (Kushoto), akitoa nasaha zake wakati wa arobaini ya marehemu mama Tunda, aliyekuwa mke wa msanii huyo. Arobaini hiyo ilifanyika nyumbani kwa marehemu mtaa wa Amani mjini . Wasanii kadhaa kutoka kila pembe ya nchi walihudhuria na katika nasaha zake, Afande Sele aliwaasanii kuendelea na moyo wa kusaidiana miongoni mwao.
Baadhi ya wasanii na wenyeji wao, wakiwa kwenye arobaini hiyo
Wasanii wakiwasili nyumbani kwa Afande Sele
Omy Dimpoz, akitoa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-tWYzYwqEj-8/U_Dj6UUOI-I/AAAAAAACnjs/B4VFQGZbJw8/s1600/IMG-20140817-WA0024.jpg)
WASANII WA KILIMANJARO MUSIC WAMFARIJI AFANDE SELE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcqWZu1PrvgyWAKpDVxIsrxiA95u5TjWi9ylcDjSG6nK0-soUqzLLbExEpNvHLD7bv*iKI-QmG4D9F8ZReYsj3c2/afande.jpg?width=650)
PENZI LA AFANDE SELE, MAMA TUNDA VULULUVULULU
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-tWYzYwqEj-8/U_Dj6UUOI-I/AAAAAAACnjs/B4VFQGZbJw8/s72-c/IMG-20140817-WA0024.jpg)
Wasanii walioshiriki tamasha la KIlimanjaro Music Tour 2014 mjini Dodoma wamfariji Msanii mwenzao Afande Sele kwa kufiwa na Mkewe.
![](http://3.bp.blogspot.com/-tWYzYwqEj-8/U_Dj6UUOI-I/AAAAAAACnjs/B4VFQGZbJw8/s1600/IMG-20140817-WA0024.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-4iCgZ_ixAsw/U_Dj6VbJChI/AAAAAAACnjw/NLcPxEFzKI4/s1600/IMG-20140817-WA0025.jpg)
10 years ago
Bongo521 Sep
Picha: Wasanii wa Fiesta wahudhuria arobaini ya Mama Tunda Moro
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ftJWquAXlRY/VOeHFzvB-UI/AAAAAAAAQEk/-oEZglK1-ms/s72-c/B2.jpg)
WASANII WA BONGO FLAVA WAMKUMBUKA MEZ B KWENYE BONANZA LA PSPF
![](http://2.bp.blogspot.com/-ftJWquAXlRY/VOeHFzvB-UI/AAAAAAAAQEk/-oEZglK1-ms/s1600/B2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog21 Sep
Afande Sele awasihi wasanii kuwa na moyo wa kusaidiana
![](http://2.bp.blogspot.com/-3Dd2xTKMBHY/VB64CVvJVeI/AAAAAAACrUs/K9a-pgpi8JQ/s1600/1.jpg)
Baadhi ya Wasanii wanaotarajiwa kutumbuiza jioni ya leo kwenye tamasha la Fiesta 2014 lenye kauli mbiu (sambaza upendo) wakiwasili mapema leo mchana nyumbani kwa Mama Mkwe wa Afande Sele,mtaa wa Amani mjini Morogoro kwa madhumuni ya kutoa pole kwa Afande Sele pamoja na Familia ya marehemu ya aliyekuwa Mzazi mwenzake Afande Sele,Marehemu Asha aliyetambulika zaidi kwa jina la Mama Tunda,ambaye leo anatimiza siku Arobaini tangu afariki na kuzikwa.
![](http://1.bp.blogspot.com/-Pm-4pKjmoD8/VB64GRimMhI/AAAAAAACrVg/fh8A39hukbc/s1600/2.jpg)
Baadhi ya Wasanii wanaotarajiwa kutumbuiza...
10 years ago
Bongo501 Jul
Afande Sele aeleza atakavyokuwa tofauti na wasanii wengine walioingia bungeni
9 years ago
Bongo510 Dec
Magufuli amrudisha Afande Sele kwenye muziki
![Afande-Sele-nzuri_full](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/06/Afande-Sele-nzuri_full-300x194.jpg)
Kasi ya Rais Dk John Pombe Magufuli imemkuna rapa kutoka Morogoro, Afande Sele na kuamua kurejea katika muziki baada ya mwezi mmoja uliopita kutangaza kuachana na muziki kwa madai hawezi kunufaika tena na muziki wake kutokana na kuwagawa mashabiki kupitia siasa.
Afande ambaye aligombea kiti cha ubunge kupitia chama cha ACT Wazalendo katika jimbo la Morogoro Mjini lakini akashindwa, ameiambia Bongo5 kuwa, kasi ya Magufuli imemwingia moyoni na kumfanya aamini hii ni Tanzania mpya.
“Kiukweli...
10 years ago
CloudsFM14 Aug
HALI YA AFANDE SELE SI NZURI BAADA YA KUFIWA NA MAMA WA WATOTO WAKE
Msanii wa Bongo Fleva,Afande Sele hali yake imekuwa mbaya baada ya kufiwa na mzazi mwenziye Asha Mohamed’Mama Tunda’.
Msanii huyo inawezekana akawa ni moja kati ya watu maarufu hapa nchini ambao wanaongoza kwa kuwataja wenza wao sehemu tofauti tofauti ambapo zaidi ya miaka 10 amesikika akimtaja wa ubavu wake, mara kwa mara hiyo ni wakati wakiwa wanaishi pamoja na mama tunda ambaye ni mzazi mwenzake waliyezaa nae watoto wawili, wa kwanza ni Tunda pamoja na Asante Sanaa. Mama Tunda amefariki...