Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PENZI LA AFANDE SELE, MAMA TUNDA VULULUVULULU

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
KUCHA za Shetani zimeugusa uchumba wa muda mrefu kati ya msanii Selemani Msindi ‘Afande Sele’ na Asha Shiengo ‘Mama Tunda’  ambapo inadaiwa sasa kila mmoja yuko na ‘hamsini’ zake, Ijumaa linaibumburua. Picha ya familia: Kutoka kulia ni Asha Shiengo ‘Mama Tunda’, Selemani Msindi ‘Afande Sele’, Asantesana Selemani na Tunda...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WASANII BONGO FLAVA WAMFARIJI AFANDE SELE KWENYE AROBAINI YA MAMA TUNDA

Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele (Kushoto), akitoa nasaha zake wakati wa arobaini ya marehemu mama Tunda, aliyekuwa mke wa msanii huyo. Arobaini hiyo ilifanyika nyumbani kwa marehemu mtaa wa Amani mjini . Wasanii kadhaa kutoka kila pembe ya nchi walihudhuria na katika nasaha zake, Afande Sele aliwaasanii kuendelea na moyo wa kusaidiana miongoni mwao.Baadhi ya wasanii na wenyeji wao, wakiwa kwenye arobaini hiyoWasanii wakiwasili nyumbani kwa Afande SeleOmy Dimpoz, akitoa...

 

10 years ago

CloudsFM

HALI YA AFANDE SELE SI NZURI BAADA YA KUFIWA NA MAMA WA WATOTO WAKE

Msanii wa Bongo Fleva,Afande Sele hali yake imekuwa mbaya baada ya kufiwa na mzazi mwenziye Asha Mohamed’Mama Tunda’.Msanii huyo inawezekana akawa ni moja kati ya watu maarufu hapa nchini ambao wanaongoza kwa kuwataja wenza wao sehemu tofauti tofauti ambapo zaidi ya miaka 10 amesikika akimtaja wa ubavu wake, mara kwa mara hiyo ni wakati wakiwa wanaishi pamoja na mama tunda ambaye ni mzazi mwenzake waliyezaa nae watoto wawili, wa kwanza ni Tunda pamoja na Asante Sanaa. Mama Tunda amefariki...

 

11 years ago

GPL

MASKINI AFANDE SELE

Stori:  Erick Evarist na Joseph Shaluwa
SIKU chache baada ya kuzagaa kwa taarifa za kuachana na mkewe mama Tunda, mfalme wa Rhymes, Seleman Msindi ‘Afande Sele’ ameibuka na kusimulia mambo ya kusikitisha waliyopita katika safari ya maisha yao. Mfalme wa Rhymes, Seleman Msindi ‘Afande Sele’. Akizungumza na wanahabari wetu ndani ya Ukumbi wa Meeda, Sinza-Mori, Dar, juzi Afande alisema hadi kufikia...

 

9 years ago

Mwananchi

Ukata wamkwamisha Afande Sele

Mgombea ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini (ACT - Wazalendo), Seleman Msindi maarufu Afande Sele, amesema ameshindwa kuzindua kampeni zake kutokana na kukabiliwa na ukata wa fedha.

 

10 years ago

GPL

AFANDE SELE AZIMIA AKIMZIKA MKEWE!

Stori: Dustan Shekidele,Morogoro
Mfalme wa Rhymes Bongo, Seleman Msindi ‘Afande Sele’ ameshindwa kustahimili msiba wa mkewe, Asha Msindi (34) na kujikuta akizimia msibani wakati wa maziko, Risasi Jumamosi lina stori ya kusikitisha. Mwili wa marehemu Asha Mohamed Shiengo 'Mama Tunda' ukiombewa kabla ya mazishi. Tukio hilo ambalo liliibua simanzi nzito mkoani hapa na kuweka historia lilijiri juzi, Alhamisi katika...

 

10 years ago

GPL

MKE WA AFANDE SELE AFARIKI DUNIA

Picha ya familia: Kutoka kulia ni Asha Mohammed Shiengo ‘Mama Tunda’ enzi za uhai wake, Selemani Msindi ‘Afande Sele’, Asantesana Selemani na Tunda Selemani. Mke wa mwanamuziki Selemani Msindi ‘Afande Sele’, Asha Mohammed Shiengo 'Mama Tunda' amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mkoa Morogoro kwa kwa ugonjwa wa… ...

 

10 years ago

GPL

DADA WA AFANDE SELE AFIA GESTI

Dustan Shekidele, Morogoro DADA wa msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Seleman Msindi ‘Afande Sele’ Zaria Kambi (30) ambaye alikuwa ni mhudumu wa baa, amekutwa ameuawa kikatili katika Gesti ya Stavi (Gesti ya Marafiki) iliyopo Kichangani, mjini Morogoro. Dada wa msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Seleman Msindi ‘Afande Sele’ Zaria Kambi. Tukio hilo la kinyama lilitokea usiku wa Jumapili...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Afande Sele amnadi mgombea udiwani

MWANAMUZIKI wa muziki wa kizazi kipya, Seleman Msindi ‘Afande Sele’, juzi alimnadi mgombea udiwani  wa Kata ya Tungi, Juma Tembo (CHADEMA), kwa falsafa yake mbele ya Mwenyekiti wa chama hicho,...

 

10 years ago

GPL

MKE WA AFANDE SELE AZIKWA MOROGORO

Mashekhe wakiombea mwili wa marehemu Asha Mohamed Shiengo kabla ya kufanya mazishi. Afande Sele akijikaza kuweka mchanga kwenye kaburi la mke wake marehema, Asha Mohamed Shiengo…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani