Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOSHI YAFUNIKA TAMASHA LA KILIMANJARO MUSIC TOUR

Wakazi wa mji wa Moshi wakifuatilia tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager. Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Kala Jeremiah akifanya vitu vyake wakati wa tamasha la kwanza la ‘Kilimanjaro Music Tour 2014’ lililofanyika katika Viwanja vya Chuo Shirikishi cha Ushirika na Biashara (MUCCOBs). Kilimanjaro Music Tour...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Moshi yafunika Kili Music Tour

TAMASHA la kwanza linalohusisha ziara ya wanamuziki zaidi ya 10 linalodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, limeanza kwa kishindo mwishoni mwa wiki ambako zaidi ya wakazi 10,000 walihudhuria na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kilimanjaro Music Tour yabisha hodi Moshi

ZIARA ya Kilimanjaro Music Tour ambayo imeanza kuwa gumzo kwa sasa katika sekta ya burudani, imebisha hodi mjini Moshi ambako wapenzi wa muziki wanatarajiwa kupata burudani ya aina yake kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

Wasanii walioshiriki tamasha la KIlimanjaro Music Tour 2014 mjini Dodoma wamfariji Msanii mwenzao Afande Sele kwa kufiwa na Mkewe.

  Baadhi ya Wasanii waliokuwa kwenye onesho la Kilimanjaro Music Tour lililofanyika mkoani Dodoma jana,leo walipitia nyumbani kwa Mfalme wa Rhymes a.k.a Simba Mzee a.k.a Afande Sele kumpa mkono wa pole na kumfariji kufuatia kifo cha Mzazi mwenzake Mama Tunda kilichotokea mwisho mwa wiki mjini Morogoro.Pichani ni Msanii wa Muziki wa Bongofleva atambulikae kwa jina la Shilole akimfariji Afande Sele Malkia wa Taarab hapa nchini,Bi Khadija Kopa akimfariji Afande Sele,pichani nyuma ya...

 

11 years ago

TheCitizen

Kili tour kicks off with a bang in Moshi

>When the awards were handed out at the beginning of the month many of the recipients knew that they had won because of their countrywide appeal which had won them votes.

 

9 years ago

AllAfrica.Com

Moshi, Serene Home of Kilimanjaro


Moshi, Serene Home of Kilimanjaro
AllAfrica.com
Twenty two hours on a bus is a long time. First, it is tiring and then laborious. My destination was Moshi, one of Tanzania's largely semi-urban town, located near Mount Kilimanjaro. When I arrived on a Friday night, it was serene and quite inviting ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kili Music Tour Mwanza kumekucha

BAADA ya Kilimanjaro Music Tour kuonesha mafanikio makubwa mjini Moshi Jumamosi iliyopita, sasa masikio na macho yanaelekea Mwanza ambako shoo ya aina yake itafanyika kwenye Uwanja wa Kirumba, kesho. Tayari...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kili Music Tour ndani ya Iringa kesho

BAADA ya kutikisa mjini Songea mkoani Ruvuma, tamasha la Kili Music Tour sasa linahamia Mkoa wa Iringa huku mashabiki wakiwa wamepania burudani hiyo. Tayari promosheni mbalimbali zimeanza katika mji wa...

 

11 years ago

Michuzi

Kili music tour yavunja rekodi Mwanza

 Vanessa Mdee na Ommy Dimpoz wakimakinika katika show ya Kilimanjaro Music Tour iliyofanyika katika Uwanja wa Kirumba na kuwavutia maelfu ya mashabiki. Ziara hii inadhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager.  Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rich Mavoko akipagawisha wakazi wa Mwanza katika show ya Kilimanjaro Music Tour iliyofanyika katika Uwanja wa Kirumba na kuwavutia maelfu ya mashabiki. Ziara hii inadhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager.  Wakazi wa Mwanza wakiwa wamefurika kwa maelfu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kili Music Tour Songea yavunja rekodi

ZIARA ya muziki ya Kili (Kili Music Tour), imeacha gumzo mjini Songea mkoani Ruvuma na kuweka rekodi ya tamasha lililohudhuriwa na watu wengi mjini hapa na iliyobeba wasanii wenye majina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani