URAIS 2015: Dokta Magufuli awataka wanaCCM kuacha tofauti zao
Mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi CCM Dokta John Magufuli amesema wanachama wa chama hicho hawana haja tena ya kutofautiana kauli baada ya hatua za kuwapata wagombe wa kupeperusha bendera za chama hicho kukamilika.
Dokta Magufuli amesema hatua iliyo mbele ya chama hicho kwa sasa ni kufanya kampeni zenye tija katika harakati za kuhakikisha CCM inaendelea kuwa chama tawala nchini.
Kukutana na wazee na wanachama wa chama cha mapinduzi mkoa wa Dar es salaam ni tamaduni iliyojengeka...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-LnJ2JohNx4I/VaZhLTMUJTI/AAAAAAAC8kE/LJf90CHSfNU/s72-c/_MG_6453.jpg)
KINGUNGE AWATAKA WANACCM KUSHIKAMANA NA KUZIKA TOFAUTI ZAO ILI KUPATA USHINDI WA KISHINDO UCHAGUZI MKUU 2015
![](http://1.bp.blogspot.com/-LnJ2JohNx4I/VaZhLTMUJTI/AAAAAAAC8kE/LJf90CHSfNU/s640/_MG_6453.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-69n8_eYeKbU/VaZhKwT1LEI/AAAAAAAC8kA/Ik2GxrZzM5w/s640/_MG_6474.jpg)
9 years ago
StarTV06 Nov
Rais Magufuli awataka wapinzani kuondoa tofauti zao
Rais wa awamu ya Tano Dokta John Pombe Magufuli amevitaka vyama vya upinzani nchini kuondoa tofauti zao na badala yake washirikiane pamoja katika kuwatumikia watanzania ili kufanikisha azma ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Kauli hiyo ameitoa mara baada ya kuapishwa rasmi na kuwa rais wa Jamhri ya muungano wa Tanzania awamu ya tano Katika Sherehe zilizofanyika JIjini Dar es Salaam.
Kushushwa kwa Bendela ya Rais inaonesha kufikia ukomo kwa uongozi wa Serikali ya awamu ya nne na sasa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OFgX-QWRgUg/XufjyZNVCkI/AAAAAAALt98/thyngRm11GAlGARfulqXv__LDyzcYmELACLcBGAsYHQ/s72-c/photo.jpg)
BUNDALA AWAASA WANACCM KONGOWE ,KIBAHA KUACHA SIASA ZA MAJUNGU ILI KUKIIMARISHA CHAMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-OFgX-QWRgUg/XufjyZNVCkI/AAAAAAALt98/thyngRm11GAlGARfulqXv__LDyzcYmELACLcBGAsYHQ/s200/photo.jpg)
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Kibaha Mjini ,Pwani ,Maulid Bundala amewaasa baadhi ya wanachama wa CCM Kongowe na Kibaha kijumla kuachana na siasa za majungu na badala yake wajenge umoja ,upendo na mshikamano ili kukiimarisha chama.
Aidha amekemea kupitapita kwa baadhi ya watu wenye nia ya kugombea nafasi za udiwani na ubunge na kudai atakaebainika kupitapita kuanza kampeni kabla ya wakati atachukuliwa hatua .
Akipokea taarifa ya utekelezaji ya ilani kata ya...
9 years ago
Habarileo11 Dec
Mtwara Vijijini watakiwa kuacha tofauti za kisiasa
MADIWANI wa Halmashauri ya Mtwara Vijijini mkoani Mtwara, wametakiwa kuacha tofauti zao za kisiasa badala yake washikamane katika kuijenga Halmashauri hiyo na kuwaletea wanachi waliowachagua maendeleo kwa haraka.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-tkeZa42HjVI/ViKZB40cMkI/AAAAAAAIAl4/k2usBhNhw0E/s72-c/_MG_7029.jpg)
WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAKIRI WAZI HAIJAPATA KUTOKEA,WAELEZA HISIA ZAO KUWA MAGUFULI ANATOSHA NAFASI YA URAIS.
![](http://1.bp.blogspot.com/-tkeZa42HjVI/ViKZB40cMkI/AAAAAAAIAl4/k2usBhNhw0E/s640/_MG_7029.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-mMl3fEogN20/ViKZFhd8cxI/AAAAAAAIAmA/e-wCJ0YN42o/s640/_MG_7034.jpg)
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/magufuli1-1024x671.jpg)
MAGUFULI AMBURUZA LOWASSA URAIS 2015
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/W-BK82a1GsuPmXwWvXnJN5KAm5VtXV5WmFaosWeG2OHkE8lj*z7HRCh3WSwLHXYswTYiJdLIvGPjeZciHwvyJO2dLdBmo0mP/13.gif)
MAGUFULI NDIYE MGOMBEA URAIS WA CCM 2015
10 years ago
Mwananchi27 Jul
Obama awagusa Wakenya, awataka kuacha ukabila
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Naibu waziri awataka wanawake kuacha woga