Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwanini kina mama walanazimika kuwauza watoto wao Venezuela

Mgogoro wa kiuchumi Venezuela unaosababisha baadhi ya kina mama ambao hawawezi kukidhi mahitaji ya watoto wao kuwatoa ama kwa hiari au kwa kulazimishwa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Kwanini familia zimekuwa 'zikiwauwa kwa heshima' watoto wao wa kike Pakistani?

Wanaume pia hulengwa , na ndugu za wanawake ambao wanadaiwa kushiriki nao katika uhusiano wa kimapenzi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kwa nini watoto waliozaliwa na kina mama wa kupanga wamekwama Ukraine?

Watoto waliozaliwa na kina mama wa kupanga wamekwama nchini Ukraine kutokana na masharti ya kutotoka nje kukabiliana na virusi vya corona.

 

11 years ago

Michuzi

Mama Kikwete awataka wazazi na walezi kuwekeza katika elimu ya watoto wao

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi.
Wazazi na walezi wilayani Lindi mjini  wametakiwa kuwekeza katika elimu ya  watoto wao kwa kuhakikisha wanakwenda shule kwa wakati kwani  elimu ni ukombozi wa maisha na kuolewa katika umri mdogo kwa watoto hao hakutawasaidia kimaisha.
Mwito huo umetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea  kwa nyakati tofauti  na viongozi wa Halmashauri kuu ya tawi ya Chama...

 

10 years ago

BBCSwahili

Spika ahusishwa na kashfa ya kuwauza watoto

Spika wa bunge la Niger ametoroka baada ya kamati ya bunge hilo kuafikia kukamatwa kwake kuhusiana na kashfa ya kuwauza watoto.

 

11 years ago

BBCSwahili

Jela kwa kuwauza watoto katika ngono

Amanda Spencer amefungwa jela miaka 12 Uingereza kwa kuwauza watoto wadogo wenye umri wa miaka 13 katika biashara ya ngono

 

5 years ago

BBCSwahili

Wanaume 3 wakamatwa kwa kuwauza watoto wachanga Instagram Iran

Mkuu wa polisi katika mji mkuu wa Iran -Tehran, Brigadia Jenera Hossein Rahimi, amesema kuwa mmoja wa watoto hao wachanga alikuwa ni wa siku 20.Mwingine alikua na umri wa mwezi mmoja.

 

5 years ago

BBCSwahili

Wanaume watatu wakamatwa kwa kuwauza watoto wachanga Instagram Iran

Mmoja wa watoto hao wao akiwa na umri wa siku 20, walidai wa kuuzwa kwa kati ya $2,000 na $2,500.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani