Mama aua watoto wake, awafukia ndani ya nyumba
NA THOMAS MURUGWA, TABORA
JESHI la Polisi linawashikilia watu wawili wakazi wa Manispaa ya Tabora kwa tuhuma za kuwanyonga watoto wawili hadi kufa, kisha kuwafukia ndani ya nyumba waliyokuwa wanaishi.
Tukio hilo la kusikitisha linadaiwa kufanyika juzi saa moja jioni katika eneo la Chechem Manispaa ya Tabora walikokuwa wakiishi watuhumiwa wa mauaji hayo.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Juma Bwire, amethibitisha jana kutokea kwa mauaji hayo ya kikatili na kuwataja watuhumiwa kuwa ni...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo11 May
Aua wazazi wake, achoma nyumba
SIMANZI kubwa imetanda katika Kijiji cha Roo, Kata ya Masama Mashariki wilayani Hai, Kilimanjaro, baada ya kijana mwenye umri wa miaka 32 kuwaua wazazi wake wawili kwa kutumia panga na shoka, kisha kuchoma moto nyumba yao.
11 years ago
MichuziMTOTO AUA WAZAZI WAKE WAWILI NA KUCHOMA MOTO NYUMBA MKOANI KILIMANJARO
WANANDOA wawili wameuawa kinyama baada ya mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Yusuf Njau (32), anayeaminika kuwa ni mtoto wa wanandoa hao, kuwacharanga kwa shoka kisha kuchoma moto nyumba yao na kutokomea kusiko julikana. Tukio hilo la kusikitisha na la aina yake limetokea juzi majira ya saa 12:30 jioni katika kijiji cha Masama-Roo, Kata ya Machame Mashariki, wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro baada ya kijana huyo kuchukua uamuzi huo ambao unadhaniwa ni sababu...
11 years ago
Michuzi26 Apr
MAMA ALIYEZAA WATOTO WANNE APELEKWA KATIKA KITUO MAALUMU NA WATOTO WAKE WAWILI WALIOBAKI KWA AJILI YA UANGALIZI.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF779BPAXfaXkQTkr088tMmq8-11Y*5liW-5luW8mMMIsnE112PgiFQsDWN*EihwrbfQkJkIylqcWE96lakxiEgtw5shcpdL/WATU.jpg)
WATOTO 8 WAKUTWA WAMEUAWA NDANI YA NYUMBA AUSTRALIA
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-AWKaxj6s994/VN2X8WxMYEI/AAAAAAAAFRs/wAbJuTNnWwA/s72-c/faraja%2Bna%2Bnyarandu7899.jpg)
MH. NYALANDU AKIWA NA MAMA MWENYE NYUMBA WAKE
![](http://1.bp.blogspot.com/-AWKaxj6s994/VN2X8WxMYEI/AAAAAAAAFRs/wAbJuTNnWwA/s640/faraja%2Bna%2Bnyarandu7899.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ax2fnParg98/VN2X8ZCcBAI/AAAAAAAAFRg/jIu1FWLkRJM/s640/faraja%2Bnyarandu091.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-svNgA1yv0YU/VN2X8BG0B6I/AAAAAAAAFRc/u6Gc-nQrcDg/s640/faraja%2Bkota45.jpg)
10 years ago
Bongo Movies17 Mar
Mama G Apagawisha Shindano la Miss Kenya Germany 2015, Lucy Komba Ndani ya Nyumba
Mwigizaji na Mchekeshaji anaeishi nchini Ugerumani, maarufu kama Mama G for Germany aka Ronet ametoa burudani ya kufa mtu kwenye shindano la Miss Kenya Germany 2015 lililofanyika usiku wa kuamkia jana huko nchini Ujerumani.
Mama G aliwavunja mbavu watu kwa vicheko mfululizo wakati alipokuwa akifanya yake ukumbini humo na kulifanya shindano hilo kunoga zaidi.
Staa wa Bongo Movies ambae kwa sasa anaishi ughaibuni, Lucy Komba pamoja na Rehema Amiry Nkalami wa swahili radio Denmark walikuwa...
11 years ago
BBCSwahili08 Jul
Mama akiri kuwaua watoto wake 3
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Mama, watoto wake wawili wauawa kwa kuchinjwa
10 years ago
CloudsFM14 Aug
HALI YA AFANDE SELE SI NZURI BAADA YA KUFIWA NA MAMA WA WATOTO WAKE
Msanii wa Bongo Fleva,Afande Sele hali yake imekuwa mbaya baada ya kufiwa na mzazi mwenziye Asha Mohamed’Mama Tunda’.
Msanii huyo inawezekana akawa ni moja kati ya watu maarufu hapa nchini ambao wanaongoza kwa kuwataja wenza wao sehemu tofauti tofauti ambapo zaidi ya miaka 10 amesikika akimtaja wa ubavu wake, mara kwa mara hiyo ni wakati wakiwa wanaishi pamoja na mama tunda ambaye ni mzazi mwenzake waliyezaa nae watoto wawili, wa kwanza ni Tunda pamoja na Asante Sanaa. Mama Tunda amefariki...