Mama, watoto wake wawili wauawa kwa kuchinjwa
Familia ya watu watatu ya mkazi wa Kijiji cha Mwamalulu, Kata ya Nara, wilayani Nzega, Mkoa wa Tabora, Leticia Thomas (30) na watoto wake wawili, wameuawa kwa kuchinjwa na watu wasiojulikana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi26 Apr
MAMA ALIYEZAA WATOTO WANNE APELEKWA KATIKA KITUO MAALUMU NA WATOTO WAKE WAWILI WALIOBAKI KWA AJILI YA UANGALIZI.
11 years ago
Mtanzania31 Jul
Mama na mtoto wake wauawa kikatili
![Arusha Town](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Arusha-Town.jpg)
Arusha Town
Na Eliya Mbonea, Arusha
MKAZI wa eneo la Baraa Ngulelo, jijini Arusha, Lightness Thomas na mtoto wake wa kike, Joyna Charles (9), wamekutwa wamekufa ndani ya nyumba yao huku vichwa vyao vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali.
Miili ya watu hao iligundulika ndani ya nyumba yao usiku wa Julai 27, mwaka huu, kitandani na kufunikwa blanketi, huku ikiwa imeharibika vibaya.
Akizungumza na MTANZANIA, ndugu wa marehemu ambaye hakupenda jina lake litajwe kwenye gazeti, alidai watu...
10 years ago
Habarileo22 Dec
Wawili wauawa kwa kipigo
WATU wawili wameuawa kwa kipigo wilayani Tarime mkoani Mara, akiwemo mwanamke, aitwaye Suzan Bhoke (34), raia wa Kenya aliyekuwa akiishi kimapenzi na Eddy Clement, mkazi wa Kitongoji cha Forodhani katika mji mdogo wa Sirari.
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Wavuvi wawili wauawa kwa risasi
WAVUVI wawili wilayani Mlele, Katavi wameuawa kwa kupigwa risasi na askari wa Game Reserve walipokuwa wakivua samaki ndani ya Hifadhi ya Pori la Akiba la Ugala na mwenzao mmoja kujeruhiwa ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lgc1mBk2ypkX77ppqUVR7AultVCnUzwWploB3s9Nf1Rw-PNhD1GFhDM*6tJaCB*gvENbVAAEuYHuwYBGHJHKrUgrsv74pHfF/55d07a7ae290f175678eb775e0b5656b.jpg?width=650)
POLISI WAWILI WAUAWA KWA GURUNETI BUJUMBURA, BURUNDI
11 years ago
BBCSwahili08 Jul
Mama akiri kuwaua watoto wake 3
10 years ago
Mtanzania27 Jan
Mama aua watoto wake, awafukia ndani ya nyumba
NA THOMAS MURUGWA, TABORA
JESHI la Polisi linawashikilia watu wawili wakazi wa Manispaa ya Tabora kwa tuhuma za kuwanyonga watoto wawili hadi kufa, kisha kuwafukia ndani ya nyumba waliyokuwa wanaishi.
Tukio hilo la kusikitisha linadaiwa kufanyika juzi saa moja jioni katika eneo la Chechem Manispaa ya Tabora walikokuwa wakiishi watuhumiwa wa mauaji hayo.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Juma Bwire, amethibitisha jana kutokea kwa mauaji hayo ya kikatili na kuwataja watuhumiwa kuwa ni...
10 years ago
CloudsFM14 Aug
HALI YA AFANDE SELE SI NZURI BAADA YA KUFIWA NA MAMA WA WATOTO WAKE
Msanii wa Bongo Fleva,Afande Sele hali yake imekuwa mbaya baada ya kufiwa na mzazi mwenziye Asha Mohamed’Mama Tunda’.
Msanii huyo inawezekana akawa ni moja kati ya watu maarufu hapa nchini ambao wanaongoza kwa kuwataja wenza wao sehemu tofauti tofauti ambapo zaidi ya miaka 10 amesikika akimtaja wa ubavu wake, mara kwa mara hiyo ni wakati wakiwa wanaishi pamoja na mama tunda ambaye ni mzazi mwenzake waliyezaa nae watoto wawili, wa kwanza ni Tunda pamoja na Asante Sanaa. Mama Tunda amefariki...
9 years ago
Mwananchi04 Oct
Mama na mwanawe wauawa kwa mapanga