Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA ALIYEZAA WATOTO WANNE APELEKWA KATIKA KITUO MAALUMU NA WATOTO WAKE WAWILI WALIOBAKI KWA AJILI YA UANGALIZI.

UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya kupitia kitengo cha Ustawi wa jamii umemtafutia kituo cha kulelea watoto wa mitaani cha Nuru Ophans Centre Mama aliyejifungua mapacha wanne na kubakia wawili baada ya kuugua Nimonia kwa ajili ya uangalizi wa karibu.  Hatua hiyo imekuja baada ya uongozi wa Hospitali hiyo kumfuata mama mwenye watoto hao Aida Nakawala(25) pamoja na mapacha wake waliobaki kutoka kijijini kwao Chiwanda Wilaya ya Momba mkoani hapa na kuwalaza hospitalini hapo kwa uangalizi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mama, watoto wake wawili wauawa kwa kuchinjwa

Familia ya watu watatu ya mkazi wa Kijiji cha Mwamalulu, Kata ya Nara, wilayani Nzega, Mkoa wa Tabora, Leticia Thomas (30) na watoto wake wawili, wameuawa kwa kuchinjwa na watu wasiojulikana.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mwanamke Aliyezaa watoto wawili na Assange kwa siri ubalozini aeleza hofu yake

Mwanasheria Stella Morris anasema wawili hao walianza mapenzi yao mwaka 2015 wakati Asange akiwa mafichoni kwenye ubalozi wa Ecuador jijini London.

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yaendesha program maalumu kwa watoto wa wafanyakazi wake

Kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel imeeandaa na kuendesha program maalum inayowawezesha watoto wa wafanyakazi wao kutembelea ofisi za Airtel na kupata wakati wa kujifunza na kuona mambo mbalimbali yanayofanywa na wazazi wao wakiwa ofisini kila siku.  Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi wa Rasilimali watu Patrick Foya alisema”Wakati ni sasa kuwafunza watoto mambo mbalimbali yanayoendana na tecknologia ya karne hii, tunaamini ni muhimu kuwafunza kwa vitendo watoto wetu mambo...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAENDESHA PROGRAM MAALUMU KWA WATOTO WA WAFANYAKAZI WAKE‏

Afisa Rasilimali wa watu, Mubaraka Kibarabara (wa tatu kushoto), akiwafunza watoto ,wakati wa program maalum ya Airtel inayowawezesha watoto wa wafanyakazi wao kutembelea ofisi za Airtel na kupata wakati wa kujifunza na kuona mambo mbalimbali yanayofanywa na wazazi wao wakiwa ofisini kila siku. Mkurugenzi wa mtandao wa Airtel Tanzania, Franky Filman, akimfundisha mtoto jinsi ya kutumia mashine ya kutoa copy wakati wa program...

 

5 years ago

Michuzi

MKE WA RAIS MAMA JANETH MAGUFULI AKABIDHI VITI VYA MWENDO (WHEELCHAIRS) KWA WABUNGE KWA AJILI YA WATOTO WENYE ULEMAVU


Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea shukurani za bila kushikana mikono na Mbunge wa Kilombero (kupitia tiketi ya CHADEMA) Mhe. Peter Ambrose Paciens Lijualikali baada ya kumkabidhi viti mwendo (Wheelchairs) 10 kwa ajili ya watoto wenye Ulemavu wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Machi 5, 2020. Wanaoshuhudia ni Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson na Mke wa Balozi wa Tanzania nchini Israel Mama...

 

10 years ago

Habarileo

Watoto wamiminika kituo maalumu cha albino

WATOTO wenye ulemavu wa ngozi katika kituo maalumu cha kulea watoto hao Buhangija Manispaa ya Shinyanga, wamezidi kuongezeka kituoni hapo kutokana na wimbi la mauaji ya albino kuibuka tena. Hadi juzi kituo hicho kilifikishiwa watoto zaidi ya 100.

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda ashiriki hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha kulea watoto yatima cha Buhangija

PG4A3915

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Umoja wa wake wa viongozi ( New Millenium Women Group) katika chakula cha jioni kilichoambatana na burudani mbalimbali kwenye ukumbi wa Kardinal Rugambwa, Oysterbay jijini  Dar es salaam, Desemba 12, 2014.  Chakula hicho  kiliandaliwa ili kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya kituo cha  kulea watoto yatima cha Buhangija mkoani Shinyanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A4218

 Baadhi ya  washiriki wa maonyesho ya mavazi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Thai Airways: Mama na watoto wake ni 'wanene sana' kukalia viti vya daraja la kwanza katika ndege

Wanawake watatu wanapigania kurudishiwa fedha zao bada ya kampuni ya ndege ya Thai kuwalazimu kukalia viti vya kawaida

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani