Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama akiri kuwaua watoto wake 3

Mama mmoja mjini London amekiri kuwaua watoto wake watatu kwa sababu ya ulemavu wao wa uti wa mgongo nchini Uingereza

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Akiri kuwaua watu 42 nchini Brazil

Polisi nchini Brazil wamemkamata mwanaume aliyekiri kuwaua watu 42 katika kipindi cha miaka kumi mjini Rio de Janeiro kwa sababu alipenda kuua

 

11 years ago

Michuzi

MAMA ALIYEZAA WATOTO WANNE APELEKWA KATIKA KITUO MAALUMU NA WATOTO WAKE WAWILI WALIOBAKI KWA AJILI YA UANGALIZI.

UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya kupitia kitengo cha Ustawi wa jamii umemtafutia kituo cha kulelea watoto wa mitaani cha Nuru Ophans Centre Mama aliyejifungua mapacha wanne na kubakia wawili baada ya kuugua Nimonia kwa ajili ya uangalizi wa karibu.  Hatua hiyo imekuja baada ya uongozi wa Hospitali hiyo kumfuata mama mwenye watoto hao Aida Nakawala(25) pamoja na mapacha wake waliobaki kutoka kijijini kwao Chiwanda Wilaya ya Momba mkoani hapa na kuwalaza hospitalini hapo kwa uangalizi...

 

10 years ago

Mtanzania

Mama aua watoto wake, awafukia ndani ya nyumba

IMG-20150126-WA0001NA THOMAS MURUGWA, TABORA
JESHI la Polisi linawashikilia watu wawili wakazi wa Manispaa ya Tabora kwa tuhuma za kuwanyonga watoto wawili hadi kufa, kisha kuwafukia ndani ya nyumba waliyokuwa wanaishi.
Tukio hilo la kusikitisha linadaiwa kufanyika juzi saa moja jioni katika eneo la Chechem Manispaa ya Tabora walikokuwa wakiishi watuhumiwa wa mauaji hayo.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Juma Bwire, amethibitisha jana kutokea kwa mauaji hayo ya kikatili na kuwataja watuhumiwa kuwa ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Mama, watoto wake wawili wauawa kwa kuchinjwa

Familia ya watu watatu ya mkazi wa Kijiji cha Mwamalulu, Kata ya Nara, wilayani Nzega, Mkoa wa Tabora, Leticia Thomas (30) na watoto wake wawili, wameuawa kwa kuchinjwa na watu wasiojulikana.

 

10 years ago

CloudsFM

HALI YA AFANDE SELE SI NZURI BAADA YA KUFIWA NA MAMA WA WATOTO WAKE

Msanii wa Bongo Fleva,Afande Sele hali yake imekuwa mbaya baada ya kufiwa na mzazi mwenziye Asha Mohamed’Mama Tunda’.Msanii huyo inawezekana akawa ni moja kati ya watu maarufu hapa nchini ambao wanaongoza kwa kuwataja wenza wao sehemu tofauti tofauti ambapo zaidi ya miaka 10 amesikika akimtaja wa ubavu wake, mara kwa mara hiyo ni wakati wakiwa wanaishi pamoja na mama tunda ambaye ni mzazi mwenzake waliyezaa nae watoto wawili, wa kwanza ni Tunda pamoja na Asante Sanaa. Mama Tunda amefariki...

 

9 years ago

Bongo5

Adele akiri kuwa mtoto wake si shabiki wa muziki wake

Licha ya muziki wake kupendwa na idadi kubwa ya mashabiki mbalimbali duniani, mwanamuziki wa Uingereza, Adele amekiri kuwa mtoto wake wa kiume si shabiki wa muziki wake. Akiwa kwenye mahojiano na BBC Radio 2, Adele aliulizwa kama huwa anamwimbia mtoto wake wa miaka mitatu aitwaye Angelo, alijibu kuwa hua anamwiambia lakini hapendi nyimbo zake. Mshindi […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mama apikia watoto wake mawe kwasababu ya kukosa vibarua alivyokuwa akifanya awali

Mjane mmoja nchini Kenya amepikia watoto wake mawe kuwadanganya kwamba chakula kinaiva.

 

5 years ago

BBCSwahili

Thai Airways: Mama na watoto wake ni 'wanene sana' kukalia viti vya daraja la kwanza katika ndege

Wanawake watatu wanapigania kurudishiwa fedha zao bada ya kampuni ya ndege ya Thai kuwalazimu kukalia viti vya kawaida

 

11 years ago

BBCSwahili

Kasisi akiri kulawiti watoto UK

Kasisi mwenye umri wa miaka 85 nchini Uingereza amekiri kosa la kulawiti watoto wengi wavulana na kuwaharibu wengine wengi wasichana

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani